Candid,
Kuna watu wanazaliwa wako hivyo na nina mifano mingi tuu, kama kuna mtu alisoma forodhani primary miaka ya 70's anatakua anamjua kijana alikuwa anaitwa Tony , yaani tukiwa wadogo kabisa tulikuwa tunamwita kisura alikuwa ana tabia zote za kike , yeye saa zote yuko na dada yake hata mwendo kila kitu
Kuna watu wanaojiendekeza lakini wako ni maumbile ya Mungu na kuna research kibao kuhusu hiyo , kulikuwa na mwamke anaitwa Mariam tulikuwa tunamuita Dume Jike akikuwa mambo yote ya kiume , mpira likuwa kwenye timu ya darasa
Tony ukubwani alikuwa hivyo hivyo , sikupata kukutana na Mariam tena lakini I can bet alikuja kuwa Lesbian, tusiwahukumu watu kwa vitu ambavyo hawawezi control, hakuna maadili wala mazingira yeyote unayozungumzia Candid yangemsaidia Tony, hata angesoma Seminary naa akaishi na Watawa angekuja kuwa tuu Gay
Kuwa fukuza na kuwasema wakini Tony na kuwabagua ni kitu kibaya sana wako hivyo na watu wengi sana wako kwenye closet kwa kuogopa bashing
Hakuna mtu aliyekuwa fundi wa kusema watu vichaa kwamba ohh yule wa Mirembe kama mimi, nawahakikishia sisemi tena kusema ahaa yule Mirembe maana ilinitokea kwenye familia na nilipopitia nikagundua ni ugonjwa kama ugonjwa mwingine
Hivyo hii dhambi ya kubagua sijua magay , Dick Cheney Republican alikuwa zamani hakuna anayepinga kama yeye mpaka mtoto wake Liz alivyokuja kuwa Lesbian ndipo alipobadilika na kujua sio swala la Malezi wala maadili saa zingine
kwa hiyo nimeuliza swali na mimi mtaniitaje ? sijajibiwa bado napenda mke wangu aniweke vidole mtanifukuza na mimi ? mkitumaliza sisi mtaaanza hatutaki kuwapa haki waisilamu maana imeandikwa kwenye biblia usijifunge nanga na wasio waamini , na waisilamu hivyo hivyo Makafiri hatuwataki ? itaishia wapi hiii