KIUNO CHANGU
Senior Member
- Mar 30, 2013
- 165
- 154
Habari wana JF!
Juzi kati nilihudhuria msiba wa jirani yangu ambapo mama wa hapo alikua amefariki.
Kilichofanya nilete hii habari ni juu ya niliyoshuhudia hapo ambapo kwangu yalikua mapya kidogo,kwani iliamuliwa mpaka ndugu wa marehem ndo waje waamue mahali marehem atakapo zikwa na msiba ufanyike wapi na sio mume wa marehemu.
Alikua ameolewa ndoa halali ya kiislam na wanawatoto wakubwa wenye familia zao.marehemu alikua mtu wa Tanga na mzaramu na mume ni mhehe na mzanzibari.
hebu nijuzeni jaman mume au mke si ndo mwenye uamuzi wa kusema mwenzi wake apumzishwe wapi?