Haki itendeke kwa waliomuua Padre Evarist na Waliochoma moto makanisa - Zanzibar

Jeuri zote kumbe umeolewa na Padri muzungu ??




A homosexual Church of England priest has announced plans to marry his Nigerian male model boyfriend, who is 40 years his junior



The pair are due to marry on Oct 9 at the register office in Devizes before holding a service at St John the Baptist Church

Credit: Photo: SWNS
Wwe unajua Jinsi Waarabu wanavyo Act porn ya wanaume kwa wanaume😬😬Ata labda wwe Gaidi ni Buti lingine pia🐷
 
Yule mtu aliachiwa baada kupita miezi 9 kutokana na serekali kukosa ushahidi.
Na Scotland yard ripoti yao haikuekwa wazi, Na pia yule mtuhumiwa alikamatwa kabla ya ripoti ya Scotland yard.
Alikua ni kiongozi wa CUF/ ACT wa ngazi ya chini kwa wakati ule ambae alikua mgombea wa ubunge. CCM walimpandikizia kesi kisiasa tu kama kawaida yao.
Asante kwa taarifa mkuu.
 
Hawa Magaidi hawana Amani,Ni Dini ya Waarabu,wat do yo expect???Waendelee kupigwa na Israel kisawasawa😬😬
 
Kwa posts nilizosma hapa, huyu mama anaelekea kuwa na wakati mgumu wa kutawala kutokana na misuguano ya kidini. Misuguano hiyo inaweza kuwa zaidi ya kipindi cha Mwinyi. Kikwete alikuwa na sifa yake moja ya kuwa mkali kidogo na kutoendekeza udini, jambo ambalo linaonekana kuwa tofauti na Mama SSS kama alivyokuwa Mzee Ruksa. Wenye biashara ya kitimoto kaeni chonjo!! Nawashaurini kila mara muwe na Sodium Hydroxide ya kutosha!
 
Mimi ni mkatoliki pure lakini majuzi tu ziliungua shule zaidi ya 10 za kiislamu ndani ya utawala wa magufuli lakini mpaka Leo hakuna mtu ambaye alishakamatwa!

Wengine wanasema inawezekana ni wao kwa wao na mimi nauliza kwanini kama ni wao kwa wao tusiwe sisi kwa sisi?

Sisi hatuwezi kufanyiana uhuni? Wakristo wangapi wametishiwa kuuwawa utawala uliopita na wengine Wachungaji na mapadri kuambiwa sio RAIA wa Tanzania.?

Ingekuwa ni utawala huu watu wangepiga kelele na kuusisha uislamu na uhuni?

Ndugu zangu hakuna dini duniani inayomtambua Mungu inayoweza kuhusishwa na upuuzi kama huo wala inaweza kufanya uhuni kama huo.

Ujambazi unafanywa na mkiristo na sio ukiristo pia ujambazi unafanywa na muislamu ila sio uislamu.

Tuache siasa kwenye kila jambo huwezi ukausisha kifo cha MTU na yeye kuwa dini fulani hata kama aliuwawa na muislamu ila sio uislamu.

Na unapo mkamata mtu uwe na ushahidi wa kutosha kumshitaki na sio kumkamata wakati ushahidi hauna miaka 9 mpumbavu unakuwa ni wewe.
We ndio umeendeshwa na hisia zaidi kuliko hata mtoa mada, haikuwa na sababu ya kutuambia dini yako zaidi ungetoa hoja yako na ungejibiwa kwa hoja pia

Hakuna aliehusisha uislamu na mauaji ya Padre Evarist ila kuna kikundi kidogo cha watu walohusika na ukatili huu na hao ndio wanatakiwa walipie na sio kujifunika na mwamvuli wa uislam ili kupofusha watu na uovu huu

Tungehusisha uislam kama angejitokeza kidume akajinja Padri na akatangazia umma kitu alichokifanya na msimamo wake ni upi na awe "willing and able" kusimamia anacho amini kama tunavyoona duniani huko

Sio unaua mtu message hujatoa ikaeleweka wewe unakimbia kimbia tu hueleweki unasimamia nini na haupo tayari kulipia kile unachokisimamia sisi tuotaka hao majambazi walomuua padri wapatikane na haki itendeke hivyo tu

Kuhusu swala la shule kuungua haki itendeke pia hata akiwa ni papa ndio alichoma shule basi alipie accordingly na sio vinginevyo
 
UAMSHO wana husika asilimia mia magaidi wakubwa walee. Uzuri hawatamaliza mwaka wanakufa wote kama Shetani Magufuli. Jinga Sana hao kina sheikh Muselem na wenzake.
Usicheze na kanisa hasa Katoliki.
 
Tunaomba serikali iliangalie swala hili mara ya pili na ukweli ujulikane kwani ni wazi kuwa haki haijatendeka kwa Padri aliyeuwawa huko Zanzibar.

Ni muda mrefu sasa umepita na serikali zote zipo kimya wala hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa wala yeyote aliyefikishwa katika vyombo vya sheria.Hakika damu ya Padre huyu haitawaacha salama.

Kuna makanisa yalichomwa moto,Je wahusika ni kina nani? Walikuwa na lengo gani? Kiongozi/Viongozi wao ni kona nani? Matokea ya uchunguzi yanasemaje? Hatua gani zimechukuliwa?

Sio kwa ubaya,Ila naamini Ingekuwa ni waislam Sheikh wao ameuawa au misikiti kuchomwa moto basi wangeitisha maandamano na pasingekalika lakini kwakuwa wakristu mafundisho yao yanasema akupigae kofi upande mmoja mgeuzie jingine basi tunadhulumiwa nafsi zetu.

Tunaomba haki kwa padre Evarist na makanisa yaliyochomwa moto Zanzibar.Baadhi watahusisha hili na kufunguliwa kwa viongozi wa UAMSHO,Sawa tunakubali kuwa UAMSHO hawahusiki basi tunaomba kuelezwa wahusika ni nani?.Hakika hili chozi halitawaacha salama na tutazidi kupiga kelele hadi haki itakapotendeka.
Mke wa padri tumesikia porojo zako
 
Back
Top Bottom