Unajua tofauti kwann wamefukuzwa na hajafukuzwa??
Kila kazi ina utaratibu na maadili yake, hao wamefukuzwa kwa kukiuka na kudhalilisha maadili ya jeshi la polis.
Pili wameichafua sale ya jeshi,
hayo waliyofanya ilistahili wafanye wakiwa nje na mda wa kaz na wakiwa kiraia.
Mzee wa msitun yeye anaburudika baada ya kazi, ungelaumu kama angepigwa akiwa nafanya hayo ndan ya ukumbi wa bunge
Una akili that's y nakuzimia
lini na sisi tutafanya hyo movie ya trafic ?
Hata sasa hivi ukitaka