Sheria yao haina kanuni na Kesi ya Kikatiba iko mahakamani. Na kama wanayataka kisheria waende mahakamani. Acha kuogopa dola kama mhamiaji haramu wewe, be bold like a man. Kuwa na misingi yako na uisimamie!!Atoe ushirikiano tu kwenye vyombo vya dola ndo ushauri wangu. Mbona mabenki hutoa details za wateja wake wanapotakiwa kufanya hivyo?? Na taarifa za benki ni very sensitive kuliko hizi za jamiiforums na sheria iliyopo sasa hivi ya cyber crime ina mtaka anayeendesha mitandao kutoa ushirikiano kwa law enforcers. Mawakili wake naona hawamshauri vizuri
Me too hii ya kitenge ntauzia huko fb
Magufuli ana mashushu wake humu......wamwambie hatuhitaji ubeberu kwenye nchi yetu.TX kiongozi nshapata nshaweka
#Freemello#
Wewe umesoma nilichochangia??
Laiti Ningekuwa mod......Umesoma nilichokileta au umeandika tu?
Mmmh.. Usitake nicheke kwa sautiMwigulu Nchemba nafikiri anapitia huku, analichukuliaje hili la sheria kuvunjwa na chombo anachokiongoza?
Tungependa kusikia neno kutoka kwake.
Achana nae huyo. Banki haitoi taarifa za wateja wake bila kibali cha mahakama. Ethics za mwanahabari pia haziruhusu kutoa taarifa ya chanzo cha habari sawa na watumiaji wa mtandao. Pia polisi ethically hawatoi au kudisclose source zao za taarifa.Umesoma nilichokileta au umeandika tu?
Kuwepo kesi mahakama kuu haina maana sheria iliyopo imefutwa!! Sheria iliyopo sasa ya cyber crime inatoa mamlaka hayo.Wanataka taarifa hizo kwa sheria ipi? Sheria yao haina kanuni na Kesi ya Kikatiba iko mahakamani. Na kama wanayataka kisheria waende mahakamani. Acha kuogopa dola kama mhamiaji haramu wewe, be bold like a man. Kuwa na misingi yako na uisimamie!!
Soma hizi thread halafu utajua why hatoi hizo taarifa.
Jamii Media yafungua Kesi ya Kikatiba kupinga Vifungu vya Sheria ya Makosa ya Mtandao
JamiiForums yashinda mapingamizi yaliyowekwa na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali(AG)
Ha ha ha miss wangu!tupo pamoja . tutapaza sauti kila mahali
Mniombee mimi ni raisi wa wanyonge badala yake tunanyongwa#2020#Nilikuwa nje ya JF narudi nakutana na mambo ya aibu Nchi imekosa hekima ,inatumia nguvu badala ya katiba iliyowekwa na watanzania wenyewe yaani hakuna aibu kubwa kama kudharau sheria za nchi na kutumia sheria za mwilini
AbeHa ha ha miss wangu!
Naona leo umechachamaa kwelikweli!