Kwa vijana wa sasa hivi hawawezi kuelewa ila kuwajuza tu ni kwamba this was a very famous slogan in 90s iliyamaanisha kula uroda. Nimemkata Yule etc kwahiyo airtel walimaanisha old meaning, plain meaning au both, to me I think ni both.
Hahaaaa yaaap hata sis kpind tunakua tulitumia sana hili neno!! Amekatwa yuleee