Shukuru huyo mywaifu to-be wako siyo mwana`jeiefu!FL1, kumpenda mtu hakumaanishi unataka kumuoa au unamtamani! niko ingejidi tayari!
Nimetania! si haka!!!
![]()
Duh kitu imetulia!!! Ila mwana hako ni pozi na hako kagauni tu ndo kanakuchnganya.Nimetania! si haka!!!
![]()
Mwanangu kitu ''natural'' purely African!!!Tuache utani, kako bomba!
![]()
Mwanangu kitu ''natural'' purely African!!!
mimi si mjui,
au naye ni selebriti kibongo bongo?
kanaonekana katamu sana!!!, nani anakamiliki kwa sasa?????Duh kazuri sana yaani mtu mzima naingia chumvini bila kuuliza hapa tatatata