haka katoto mi nakapendaga! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

haka katoto mi nakapendaga!

Discussion in 'Jamii Photos' started by eRRy, Oct 23, 2009.

 1. eRRy

  eRRy JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 1,080
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Sa mbona hakaonekani ndugu MKUU?
  Au unako hapo getho!...hatukaoni, ...piga picha utu`scanie!
   
 3. eRRy

  eRRy JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 1,080
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Haka Hapa Mkuu Sorry!
  [​IMG]
   
 4. eRRy

  eRRy JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 1,080
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Nimetania! si haka!!!
  [​IMG]
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr.....mh!
  Utafungwa wewe ...humjui anayekamiliki kwa sasa!!
  Niulize mimi...jamaa anapiga ngumi za pua tu...hapigi pengine!
   
 6. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  kaoe basi
   
 7. eRRy

  eRRy JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 1,080
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mkuu Pua langu Kama La Michael Jackson La Bandia afu la chuma!
   
 8. eRRy

  eRRy JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 1,080
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  FL1, kumpenda mtu hakumaanishi unataka kumuoa au unamtamani! niko ingejidi tayari!
   
 9. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #9
  Oct 23, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Shukuru huyo mywaifu to-be wako siyo mwana`jeiefu!
   
 10. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #10
  Oct 23, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Duh kazuri sana yaani mtu mzima naingia chumvini bila kuuliza hapa tatatata
   
 11. eRRy

  eRRy JF-Expert Member

  #11
  Oct 23, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 1,080
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Tuache utani, kako bomba!

  [​IMG]
   
 12. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #12
  Oct 23, 2009
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,923
  Likes Received: 631
  Trophy Points: 280
  Duh kitu imetulia!!! Ila mwana hako ni pozi na hako kagauni tu ndo kanakuchnganya.
   
 13. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #13
  Oct 23, 2009
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  wanaume, always watata
   
 14. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #14
  Oct 23, 2009
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,923
  Likes Received: 631
  Trophy Points: 280
  Mwanangu kitu ''natural'' purely African!!!
   
 15. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #15
  Oct 23, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  who the hell is she?
   
 16. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #16
  Oct 23, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  mimi si mjui,
  au naye ni selebriti kibongo bongo?
   
 17. eRRy

  eRRy JF-Expert Member

  #17
  Oct 23, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 1,080
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Joketi, mrembo ambaye amekuwa akijitahidi sana kujiepusha na kashfa na mpaka sasa hajakumbwa na ‘skandali’ yoyote ‘siriasi’, kwa wiki nzima, sasa amekuwa akilia baada ya picha ya msichana anayeaminika kuwa ni yeye, kubandikwa mtandaoni (hatuutaji mtandao), kama inavyoonekana ukurasa wa mbele kulia, akifanya ngono na mwanaume asiyejulikana.

  Picha hiyo inayomwonesha Jokate akifanya ngono mtandaoni, hivi sasa imesambazwa kwa nguvu zote kwenye simu za watu kupitia utaratibu uitwao Blue Tooth na Memory Card, ikisemekana lengo ni kuendelea kumchafua mnyange huyo, ambaye siku zote amekuwa akionekana mwema na mwenye sifa nzuri mbele ya jamii.

  Kama kawaida, gazeti hili lilikuwa miongoni mwa watu wa kwanza kabisa kuinasa picha hiyo kwa sababu hushughulika sana na skendali za watu maarufu, ambapo katika kikao cha gazeti, picha hiyo ilipokelewa na kuanza kuchunguza vizuri kipande hicho cha video na mabishano makubwa kutokea, huku baadhi ya wajumbe wakisema “Ni Jokate na wengine wakisema siyo”!

  Kilichomwokoa mrembo huyo na kuonyesha kuwa picha hiyo si yake bali ni ya msichana anayefanana nae sana, ni kidude cheusi (love spot), ambacho Mungu alimwekea Jokate juu ya mdomo wake wake, (kama kilivyozungushiwa kiduara chekundu katika picha halisi ya Jokate iliyoko kushoto ukurasa wa mbele), alama ambayo hakika, ndiyo iliyookoa heshima ya yake iliyokuwa hatarini kutoweka.

  Picha ya msichana aliyewekwa mtandaoni akifanya ngono haina kidoti hicho cheusi ambacho kimekuwa alama ya Jokate, hivyo kufanya kile kinachofanywa na Kikundi cha Destroy the Inocent, kuonekana ni uongo wenye lengo la kumchafua mlimbwende huyo.

  Ni tofauti ya picha hizo mbili, ndiyo iliyofanya gazeti hili na mengine mengi kutochapisha habari hiyo, baada ya kuthibitisha kuwa, kashfa hiyo ni uongo unaofanywa kwa lengo maalum na kundi hilo chafuzi.

  Gazeti hili linalaani kitendo kinachofanywa na Kikundi cha Destroy the Innocents cha kuchafua majina ya watu kwa makusudi na juhudi zinaendelea ili kuwanasa watu hao kwa lengo la kuwafikisha mikononi mwa sheria, huku ikidaiwa kuwa, baadhi yao ni wanafunzi wa Chuo Kikuu kimoja maarufu jijini Dar es Salaam.
  Source: http://www.globalpublisherstz.com/2009/02/11/miss_jokate.html
   
 18. Mponjoli

  Mponjoli JF-Expert Member

  #18
  Oct 23, 2009
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Haka kabinti kanaliwa na nani hapa mjini? Hakana skendo kabisa. Kanaonekana katamu sana.
   
 19. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #19
  Oct 23, 2009
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,471
  Likes Received: 1,420
  Trophy Points: 280
  kanaonekana katamu sana!!!, nani anakamiliki kwa sasa?????
   
 20. GP

  GP JF-Expert Member

  #20
  Oct 23, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  duh, kanaonekana katamu sana,
  btw haka ni kanani vile mbona sikajui??.
   
Loading...