Haka kajanki ni kakatili sana.

Utotoni tulikua tunawapiganisha na balale.

Wasipopigana tunachukua sindano za kuchomea wagonjwa tunajaza maji na kuyajaza matumbo yao mpaka yanapasuka.

Same treatment ilikua kwa mijusi.
Ukatubu
 
Mzee unajua kinyonga anakula wadudu? Au unajua kinyonga ni nini?

Mkuu Mantis ni habari nyingine kwa kupigana na kuwahi hana utani hata kinyonga lazima ajipange haswa
Documentary zipo nyingi na ushuhuda
 
Utotoni tulikua tunawapiganisha na balale.

Wasipopigana tunachukua sindano za kuchomea wagonjwa tunajaza maji na kuyajaza matumbo yao mpaka yanapasuka.

Same treatment ilikua kwa mijusi.
Hawa ndio katiri kuzidi huto tujamaa. Ukatiri wao ni zaidi ya kagame
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…