Haka kabinti leo kamenikera sana

Haka kabinti leo kamenikera sana

Hureee! Hii pia Ni salamu njema kwenu kwa sababu siku imepita salama na amani.

Lakini kwa bahati mbaya nimeharibiwa siku na haka kasichana ambako kwa umri nimekazidi sana, nimekazidi elimu zaidi kwa sababu hata chuo hakajamaliza, kakimaliza degree moja itakuwa nakadai degree mbili ndio kaweze kuwa sawa na Mimi. Kibaya kwake nimekazidi umri na intelligence, uwezo kifedha japo kanaona kanahaki kula pesa zangu.

Nije kwenye hoja yake, kana post kwenye profile mambo yanayonigusa moja kwa moja, ieleweke kwamba baadhi yetu wanaume, kipengele cha kuhonga ni shida kama kushusha kubeba kilo 1000.

Hii tabia ya kuomba pesa kijanja kwa hila wanawake hawastaarabiki tu? Unapost badala ya kuachana naye au kumwambia ajue moja? Kimsingi kugonga ni vigumu sana, nilitaka tunda tukalila, shoo ililipiwa unataka nini tena? Hata kuotana baby niilipie? Na midevu yangu uniite baby niilipie?
Tatizo una degree nyingi sana
 
Duh kweli Tanzania elimu yetu bado sana,,kama mtu mwenye degree tatu anaandika hivi ata post haina ata context!sisi wa Veta tutakuaje sasa??
Ulidhani kasomea uandishi wa habari mkuu. Mbona ujumbe unaeleweka tu.
 
Licha ya huto tu digrii twako tutatu hauna tofauti na huyo mwenye kadigrii kamoja na huenda anakuzidi,ogopa sana mtu anayrjisifia kuhusu kaelimu aliko nako,jisifie maendeleo sio kaelimu

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tumia panadol, kichwa kikipumua mmalizane huko.
Usitugombeze kama vile yanatuhusu mr digirii.
 
Una degree 3 mwalimu wako yukoje,

Hako kabinti kameshakusima kuwa amekuzidi IQ ndo maana anakubadili matumizi uwe itm.
 
Watoto wanapenda Nadine Kama nyie, wewe kakikuzidi hesabu sepa baba
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hureee! Hii pia Ni salamu njema kwenu kwa sababu siku imepita salama na amani.

Lakini kwa bahati mbaya nimeharibiwa siku na haka kasichana ambako kwa umri nimekazidi sana, nimekazidi elimu zaidi kwa sababu hata chuo hakajamaliza, kakimaliza degree moja itakuwa nakadai degree mbili ndio kaweze kuwa sawa na Mimi. Kibaya kwake nimekazidi umri na intelligence, uwezo kifedha japo kanaona kanahaki kula pesa zangu.

Nije kwenye hoja yake, kana post kwenye profile mambo yanayonigusa moja kwa moja, ieleweke kwamba baadhi yetu wanaume, kipengele cha kuhonga ni shida kama kushusha kubeba kilo 1000.

Hii tabia ya kuomba pesa kijanja kwa hila wanawake hawastaarabiki tu? Unapost badala ya kuachana naye au kumwambia ajue moja? Kimsingi kugonga ni vigumu sana, nilitaka tunda tukalila, shoo ililipiwa unataka nini tena? Hata kuotana baby niilipie? Na midevu yangu uniite baby niilipie?
 
Hureee! Hii pia Ni salamu njema kwenu kwa sababu siku imepita salama na amani.

Lakini kwa bahati mbaya nimeharibiwa siku na haka kasichana ambako kwa umri nimekazidi sana, nimekazidi elimu zaidi kwa sababu hata chuo hakajamaliza, kakimaliza degree moja itakuwa nakadai degree mbili ndio kaweze kuwa sawa na Mimi. Kibaya kwake nimekazidi umri na intelligence, uwezo kifedha japo kanaona kanahaki kula pesa zangu.

Nije kwenye hoja yake, kana post kwenye profile mambo yanayonigusa moja kwa moja, ieleweke kwamba baadhi yetu wanaume, kipengele cha kuhonga ni shida kama kushusha kubeba kilo 1000.

Hii tabia ya kuomba pesa kijanja kwa hila wanawake hawastaarabiki tu? Unapost badala ya kuachana naye au kumwambia ajue moja? Kimsingi kugonga ni vigumu sana, nilitaka tunda tukalila, shoo ililipiwa unataka nini tena? Hata kuotana baby niilipie? Na midevu yangu uniite baby niilipie?
Unaandika upotolo halafu unajisifu kuwa una shahada zaidi ya moja. Kweli taifa limejaa wasomi feki kila eneo
 
Sahiv umeamua kubadil iD kujiita Yoranda ili uibie wanaume wenzako kwa kujidai demu
 
Back
Top Bottom