Pennstatepro
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 201
- 293
Ukweli mie sijaelewa huu uzi , au kwakuwa ameandka Dr na mie ni wa darasa la saba timu msukuma?
Hakika mwenye masters au PHD hawezi shinda anaandika kutanguliza elimu yake kumnyanyasa binti na Kulinganishana naye Elimu, this is shit,
😃😃😃Hakika mwenye masters au PHD hawezi shinda anaandika kutanguliza elimu yake kumnyanyasa binti na Kulinganishana naye Elimu, this is shit,
Atakuwa ni form four wamesubiria likizo ya Corona iishe,
Wenye degree 4 huleta mambo ya ajabu sana kumbe tatizo huanzia kwenye degree 3 nimesikitika sana.Kama huo ndio uandishi wa degree 3 ulizonazo, siitaki hata hiyo degree moja ya aina yako.
Uandishi wako utakuwa hata degree moja ujamaliza,
Sababu nimeshazipima tu