Haka kabinti leo kamenikera sana

Haka kabinti leo kamenikera sana

Sahiv umeamua kubadil iD kujiita Yoranda ili uibie wanaume wenzako kwa kujidai demu
😂😂😂😂 mkuu umenichekesha mno mpaka watu wamenishangaa. Maana kicheko cha ghafla halafu nakodolea simu tu. Jamaa tapeli huyu😂😂😂 digirii tatu hazijabadili kipato chake😂😂yoranda🤣🤣🤣
 
Hureee! Hii pia Ni salamu njema kwenu kwa sababu siku imepita salama na amani.

Lakini kwa bahati mbaya nimeharibiwa siku na haka kasichana ambako kwa umri nimekazidi sana, nimekazidi elimu zaidi kwa sababu hata chuo hakajamaliza, kakimaliza degree moja itakuwa nakadai degree mbili ndio kaweze kuwa sawa na Mimi. Kibaya kwake nimekazidi umri na intelligence,
Hizo degree 3 ulizonazo umezipataje?? Mbona haziendani na uhalisia wako?
 
Back
Top Bottom