Umeona hicho kiuono rakini? nampenda kikukwelii ukwelii am in love
Umeona hicho kiuono rakini? nampenda kikukwelii ukwelii am in love
hivi fidel yupo leo kweli....itifaki inavunjwa hapa
No niliyasikia hapa kuhusu huko nimebadiri mawazo yangu. Hivi kumbe sio picha ya cheusi duuuh!
aah mgeni karibu bwana sie tunakusubiria...sasa umeahirisha unakwenda wapi?.....hiyo picha ni ya cheusi kabisa namjua
Kama ndo yeye dhibitisha kwa kutoa nyingine inayoelekea kufanana na hiyo......
sina uhalali wa kutoa picha ya Cheusi bila ridhaa yake
Sasa hapo itabidi Mweyewe tumuombe kama atakubali atoe nyingine Vp unaweza kutusadia kumuomba??
nimeongea nae ndio anatafuta kwenye album
No niliyasikia hapa kuhusu huko nimebadiri mawazo yangu. Hivi kumbe sio picha ya cheusi duuuh!
hahaa hizi avatar zina mambo shosti!niliiona picha ya hiyo avatar yako mtandaoni nikawakumbuka wanajf wanavyopagawa wkt hatuwezi kuweka picha zetu za ukweli!ngoja siku watuone tulivyo kama hawatakimbia!lolhahaha Nyivonduma kumbe weye hiyo hapo ni ya kwako ???