GE2025 Haji Manara: Hii nchi ina utawala Octoba 29 hatoki mtu kuandamana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,038
Mkurugenzi Mtendaji wa ManaraTv na Mgombea Udiwani wa Kata ya Kariakoo Ndugu Haji Sunday Manara amewajibu wanaomsema vibaya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan pamoja na Vijana wanaoshinikiza kufanya maandamano kufuatia uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 mwaka huu.

Soma pia:29 Oktoba tunashirikije uchaguzi ikiwa haya hayajafanyiwa kazi?

Akizungumza Leo Septemba 18,2025 na waandishi wa habari Manara amesema amewaasa vijana kuacha kushinikizwa na kufanya maandamano wakati wa uchaguzi nkuongeza kuwa Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa dola
 
Mgombea Udiwani wa Kata ya Kariakoo Ndugu Haji Sunday Manara amewajibu wanaomsema vibaya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan pamoja na Vijana wanaoshinikiza kufanya maandamano kufuatia uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 mwaka huu

Akizungumza Leo Septemba 18,2025 na waandishi wa habari Manara amesema amewaasa vijana kuacha kushinikizwa na kufanya maandamano wakati wa uchaguzi nkuongeza kuwa Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa dola.

Soma Pia: GE2025 - Mgombea Udiwani kata ya Kariakoo Haji Manara akiomba kura ndani ya Daladala
 
Yaani ndo amewahabarisha hata ambao walikuwa hawajui hilo....
 
Hili danga la Hersi nalo linawashwa
JamiiForums-1290500738.jpg
FB_IMG_1713799997765.jpg
 
Mgombea Udiwani wa Kata ya Kariakoo Ndugu Haji Sunday Manara amewajibu wanaomsema vibaya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan pamoja na Vijana wanaoshinikiza kufanya maandamano kufuatia uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 mwaka huu

Akizungumza Leo Septemba 18,2025 na waandishi wa habari Manara amesema amewaasa vijana kuacha kushinikizwa na kufanya maandamano wakati wa uchaguzi nkuongeza kuwa Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa dola.

Soma Pia: GE2025 - Mgombea Udiwani kata ya Kariakoo Haji Manara akiomba kura ndani ya Daladala
Isijekutokea ukawa wewe mwongozaji,shida kumwamini ama kumwelewa Mtanzania ni kazi ngumu sana!
 
Mkurugenzi Mtendaji wa ManaraTv na Mgombea Udiwani wa Kata ya Kariakoo Ndugu Haji Sunday Manara amewajibu wanaomsema vibaya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan pamoja na Vijana wanaoshinikiza kufanya maandamano kufuatia uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 mwaka huu.

Soma pia:29 Oktoba tunashirikije uchaguzi ikiwa haya hayajafanyiwa kazi?

Akizungumza Leo Septemba 18,2025 na waandishi wa habari Manara amesema amewaasa vijana kuacha kushinikizwa na kufanya maandamano wakati wa uchaguzi nkuongeza kuwa Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa dola
Na ukute Kuna mtu anamsikiliza huyu Albino.

Inashangaza sana
 
Mkurugenzi Mtendaji wa ManaraTv na Mgombea Udiwani wa Kata ya Kariakoo Ndugu Haji Sunday Manara amewajibu wanaomsema vibaya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan pamoja na Vijana wanaoshinikiza kufanya maandamano kufuatia uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 mwaka huu.

Soma pia:29 Oktoba tunashirikije uchaguzi ikiwa haya hayajafanyiwa kazi?

Akizungumza Leo Septemba 18,2025 na waandishi wa habari Manara amesema amewaasa vijana kuacha kushinikizwa na kufanya maandamano wakati wa uchaguzi nkuongeza kuwa Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa dola

..uchaguzi huu ni feki.

..hakuna mtu anayejitambua atakwenda kupiga kura.
 
Back
Top Bottom