GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 63,417 Reaction score 127,512 Feb 19, 2025 #1 Eti leo ni...... Leo ni Mariamu na Mam Eliza na Liz Bakari na Beka Nassor na Cholo Samwel na Sam Fatuma na Tuma Ujugu na Jugu Kisa tu kuna Picha kaiona ya Kocha Fadlu wa Simba SC na Kocha Mgunda wa Namungo FC wanasalimiana Kibashasha.
Eti leo ni...... Leo ni Mariamu na Mam Eliza na Liz Bakari na Beka Nassor na Cholo Samwel na Sam Fatuma na Tuma Ujugu na Jugu Kisa tu kuna Picha kaiona ya Kocha Fadlu wa Simba SC na Kocha Mgunda wa Namungo FC wanasalimiana Kibashasha.
TAJIRI MKUU WA MATAJIRI JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,842 Reaction score 21,660 Feb 19, 2025 #2 GENTAMYCINE unazingua ujue
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 16,679 Reaction score 39,065 Feb 19, 2025 #3 Popoma wapewe madini hawa mbumbumbu
R Right eye JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 1,249 Reaction score 2,187 Feb 19, 2025 #4 Hakika hajakosea mtu kuukweka kwenye shamba lake hakuna kosa mazao si yake..
Kamgomoli JF-Expert Member Joined May 3, 2018 Posts 1,926 Reaction score 4,110 Feb 19, 2025 #5 Leo ni Fatuma vs Fetty, so dad 😔 😔
M Makavuli JF-Expert Member Joined Aug 27, 2024 Posts 1,953 Reaction score 2,536 Feb 19, 2025 #6 GENTAMYCINE said: Eti leo ni...... Leo ni Mariamu na Mam Eliza na Liz Bakari na Beka Nassor na Cholo Samwel na Sam Fatuma na Tuma Ujugu na Jugu Kisa tu kuna Picha kaiona ya Kocha Fadlu wa Simba SC na Kocha Mgunda wa Namungo FC wanasalimiana Kibashasha. Click to expand... Ni abdala na dula mambo yote yashamalizika mezani🤣🤣
GENTAMYCINE said: Eti leo ni...... Leo ni Mariamu na Mam Eliza na Liz Bakari na Beka Nassor na Cholo Samwel na Sam Fatuma na Tuma Ujugu na Jugu Kisa tu kuna Picha kaiona ya Kocha Fadlu wa Simba SC na Kocha Mgunda wa Namungo FC wanasalimiana Kibashasha. Click to expand... Ni abdala na dula mambo yote yashamalizika mezani🤣🤣
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 12,322 Reaction score 10,914 Feb 19, 2025 #7 SOKA la bongo pasi sifuri fitna na uzushi mia.
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 44,466 Reaction score 130,744 Feb 19, 2025 #9 GENTAMYCINE said: Eti leo ni...... Leo ni Mariamu na Mam Eliza na Liz Bakari na Beka Nassor na Cholo Samwel na Sam Fatuma na Tuma Ujugu na Jugu Kisa tu kuna Picha kaiona ya Kocha Fadlu wa Simba SC na Kocha Mgunda wa Namungo FC wanasalimiana Kibashasha. Click to expand... This is GENTAMYCINE The King i know!! Manara amesema ukweli mtupu.
GENTAMYCINE said: Eti leo ni...... Leo ni Mariamu na Mam Eliza na Liz Bakari na Beka Nassor na Cholo Samwel na Sam Fatuma na Tuma Ujugu na Jugu Kisa tu kuna Picha kaiona ya Kocha Fadlu wa Simba SC na Kocha Mgunda wa Namungo FC wanasalimiana Kibashasha. Click to expand... This is GENTAMYCINE The King i know!! Manara amesema ukweli mtupu.