dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,754
- 18,776
- Thread starter
-
- #141
Amnunulie Bab ake gari la maana siyo ractiz alfu anaenda kuonga dualiz kwa tapeli zaylisaFamilia yake na baba ake wanakaa hapo pamoja na yeye mwemyewe.
Maisha ya mtandao kwamba anampa zawadi ya gari huku baba yake anaendesha vaspa ya zamani nyekundu. Sio kweli.
So mtoa mada aache wivu
Ndio naaamini kwamijubu was manager wa masoko nilimnukuu clouds fmNa wewe unaamini kabisa kwamba live coverage ya DSTV inalipiwa m 50?
Anajua kuishi vzr na matajiri.Kila mwaka jamaa anafanya matukio ya ajabu ajabu kama siyo kuoa Ni birthday nw Kama siyo birty Basi nikuoa, leo January 18 Ni birthday yake wkt huo huo kutakuwa na tukio la engagement na bint tapeli wa kutoka Tanga muweza
Tukio pia litakuwa live mubashara DStv amelipia milion 50 tukio liruke live
Hoja
Hivi mwanaume mzima unafanya birthday Kila mwaka kwa kuteketeza mamilion ya shilingi for a single night ? Alfi baadae mwezi miwili unachwa na kuanza kulalaimikia wanawake
HV wazazi wake hawawezi kukaa nae chini wamueleze ukweli kuwa SASa mwanangu cheupe tumechoka na.ndoa zako za Kila mwaka Safari hi iwe ya mwisho
Huwenda manara Ana biashara yake nyuma inamuingizia pesa chafuu na Kisha kuzitumia kwenye mamb Kama haya
Kuna mijitu itanitukana kwamba nitafute pesa ,sawa pesa natafuta San ila siyo kutanya ujinga na matukio ya hovyo hovyo
View attachment 2875792
Hao sponsor wamekosa pa kupeleka pesa Hadi kwenda kumpa huyu tapeli wa mapenziHalipi kwa pesa zake. Hujaona sponsors kwenye event yake. Hao ndo wanalipa.
Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
Niqtakutafuta weeweHayakuhusu. Tafuta hela wewe!
Meneja masoko wa nini?Ndio naaamini kwamijubu was manager wa masoko nilimnukuu clouds fm
Anaishi kwa kuomba omba na kutumia ualibino kujjinufaisha pekee akeAnajua kuishi vzr na matajiri.
We kima acha gubu. Nahisi Haji kakufanya kitu mbaya ndio maana kelele haziishi.Hao sponsor wamekosa pa kupeleka pesa Hadi kwenda kumpa huyu tapeli wa mapenzi
Kujipendekeza pendekeza.Anaishi kwa kuomba omba na kutumia ualibino kujjinufaisha pekee ake
Nitafute nikuoe.Niqtakutafuta weewe
Mwanzoni nilikua nafahamu anaishi temeke, ila baada ya kupata deal Yanga, si ndo GSM kampangia Appartment hapo Masaki?Familia yake na baba ake wanakaa hapo pamoja na yeye mwemyewe.
Maisha ya mtandao kwamba anampa zawadi ya gari huku baba yake anaendesha vaspa ya zamani nyekundu. Sio kweli.
So mtoa mada aache wivu
Kampangia appartment jamani, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] eti masaki kwa mwanume mwezake gsm
Ahahahah.. unataka mamlaka zitumie kodi zetu kumzuia Manara kutumia pesa zake? ππππ.Mamlaka ya kudhibiti mambo mbali mbali iko kimya inamuogopa kisa Ni albino
Utakatishaji wa fedha za madawa ya kulevya akijifanya ni fedha za michango ya harusi, kumbe ndio anaziingiza katika system ya fedha halaliKila mwaka jamaa anafanya matukio ya ajabu ajabu kama siyo kuoa Ni birthday nw Kama siyo birty Basi nikuoa, leo January 18 Ni birthday yake wkt huo huo kutakuwa na tukio la engagement na bint tapeli wa kutoka Tanga muweza
Tukio pia litakuwa live mubashara DStv amelipia milion 50 tukio liruke live
Hoja
Hivi mwanaume mzima unafanya birthday Kila mwaka kwa kuteketeza mamilion ya shilingi for a single night ? Alfi baadae mwezi miwili unachwa na kuanza kulalaimikia wanawake
HV wazazi wake hawawezi kukaa nae chini wamueleze ukweli kuwa SASa mwanangu cheupe tumechoka na.ndoa zako za Kila mwaka Safari hi iwe ya mwisho
Huwenda manara Ana biashara yake nyuma inamuingizia pesa chafuu na Kisha kuzitumia kwenye mamb Kama haya
Kuna mijitu itanitukana kwamba nitafute pesa ,sawa pesa natafuta San ila siyo kutanya ujinga na matukio ya hovyo hovyo
View attachment 2875792
Wajanja wanatumia hiyo nafasi kuwapiga hela hao "wajinga".Wajinga waliwao
Bongo sahv ukitaka kupiga hela
Wekeza kwa wajinga maana wajinga ni wengi sana
Ova