Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 473
- 1,682
Ile cinema aliyosema Rais wa TFF kuhusu Yanga hatimaye leo ijumaa imetoka na angalieni kwenye Manara TV, asante
Sasahivi anataka kumpeleka mtu mahakamani kisa twiga wakeManara huyu huyu mento fresh au mwingine,,
Hawa watu ambao wanaishi mjini kwa mdomo, most of the time wakibananaishwa hawana kitu.Manara akishashikwa bapaya anakimbilia ulemavu wake kuwa wanamuonea.