What's wrong with that?
Is it just because "hajatumwa na familia?"
Na ni familia ipi hasa ambayo polisi wanai - refer?
As far as I know, Mo Dewji ni mwanafamilia wa Simba Sports Club na Manara Haji ni kiongozi wa Simba S.C.....
Kosa liko wapi kwa wanafamilia wa Simba SC kutoa taarifa kupotea kwa mwanafamilia mwenzao?
Hawa polisi vipi lakini? Yaani badala wa deal na issues, wanahangaika na none issues!!
Ukweli ni huu: Mo Dewji amaepotea/tekwa na "watu wasiojulikana"...
Polisi fanyeni kazi yenu " professionally" kuwatafuta hawa " wasiojulikana" wajulikane. Acheni kucheza game za siasa za longo longo za wanasiasa wa sampuli ya Paul Makonda a.k.a DAB , RC wa DSM!