Hajapata post mpk leo ana wasiwasi jamani

Hajapata post mpk leo ana wasiwasi jamani

jamalizo

Member
Joined
Oct 1, 2015
Posts
27
Reaction score
3
Kuna rafiki yangu mpk leo hajaona jina lake ilhali kila chuo alichoomba majina yametoka FIRST n SECOND selection sasa inakuwaje hapo jamaaaaaniiii naomba mwongozoo maaana amekata tamaa
 
Pass zake za A level zikoje na aliomba kozi gani na vyuo vipi?
Je jina lake halikutoka kwenye second round application?
Kuna watu walipoapply hawakufuatilia na walipotakiwa kuomba upya kwenye second round application hawakuona hilo tangazo hivyo hawakuomba! Isije akawa mmoja wao!
 
aliomba bachelor of arts with education,alivyoambiwa aombe second round aliomba pia,vyuo ni DUCE,TUMAINI(DAR CENTER),TEKU,UDOM
 
aliomba bachelor of arts with education,alivyoambiwa aombe second round aliomba pia,vyuo ni DUCE,TUMAINI(DAR CENTER),TEKU,UDOM

usiwe na hofu kama aliambiwa afanye 2nd round manake deadline ilikuwa juz tu trh 30 sasa hv ndo wanaziprocess selections za 2nd round, mpaka wiki ijayo ndo atafahamu kama amepata au kama atafanya 3rd round
 
third round itakuwa ya education tuuu

Unataka kusema kuwa education ndiyo jalala la waliokosa au?
Kwa taarifa yako applicants PGDE wengi ni graduates wa engineering, law, BA(general), BSc(general) nk baada ya kusota mitaani bila ajira!!
 
wana jukwaa, mimi nina diploma, nimeomba kupitia nacte, mpaka sasa sijapata, na vyuo nilivyoomba wametoa? nimesoma East Africa Training Institute kipo arusha, wenye kufahamu msaada please
 
Back
Top Bottom