Hajafaaa kumbe kapiga pombe haramu asubuhi na mapema.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hajafaaa kumbe kapiga pombe haramu asubuhi na mapema..

Discussion in 'Jamii Photos' started by KAPERO, Sep 10, 2010.

 1. KAPERO

  KAPERO Member

  #1
  Sep 10, 2010
  Joined: Jul 18, 2010
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huwezi amini,, jamaa huyu maarufu sana kama kwa jina la Embe,, alionekana asubuhi sana akielekea maeneo kunako uzwa vileo vya kinyumbani/kienyeji. na baada ya kama nusu saa akakutwa kajilalia kama umauti umemfikia!!!:eek2::lol::eyebrows::sleepy: P9100125.JPG P9100120.JPG P9100119.JPG
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  sasa huyu jamaa anajiona kama yupo kitandani? kazi kweli Pombe sio maji Sio mchezo
   
 3. father-xmas

  father-xmas JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2010
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 530
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  namna hii si wazee wa mujini wanajilia ubwabwa......................!
   
Loading...