Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,903
- 172,763
Hahahaaaa, sipoi hadi nione pichaaaaa!
Asante mpndwa nmekuelewa mkuu
Ha ha ha unituweeee cha kuniganda?
mi ndo nimekupa ahadi?
Kama kagoma yeye weka mwenyewe. kama hamtaki basi uzi ufungweeee!
He he he umetiwa hamu eeee pole
Pole dakika ya 90 sahivi ohoooo
Kuna mikia ya mbele pia??
Povu zinamtoka shombe lol ......
Nshaona huu upepo hajui tumevaa helmet za kuzuia
tatiana kwa zengwe la jana nilijua picha itawekwa loh leo tena hadi sikukuu za muungano zimwisha nina uzuni
Mode kusipowekwa picha wadau wanadai eti uzi ufungwe
Hehehehehehehheheheheheheheheheheehheehhe wacha nifurahi mie mtoto wa kipare og mixer mpembaaa mwambien eve nmemwachia mbeba mizigo wake nipo na wat wa typ yangu stak shoboooo
Mode kusipowekwa picha wadau wanadai eti uzi ufungwe
Nilikuwa nina hamu Sana nikuone ukiwa mbagala
Au tunaandamana kumshinikiza Evelyn Salt ajiweke mwenyewe
Uuh haufutwi usiogope
Uuh haufutwi usiogope
Hii sio yako, hii ya msanii wa ulaya na thread yake ipooo.
Hehehehehhehehe mbona povu jing vp mkuu una kisukari?