Kufa bana wengine tupate dili, we unadhani hii biashara yangu ya sanda na jeneza itatokaje?
Btw hebu njoo hapa kona ya Muhimbili uchague kabisa jeneza lako marehemu mtarajiwa...
hahahahah mungu unipe nini tena jf umenipa looh
Kilichobak uombe Mungu akupe gunia la chawa wawepo muda wote mwilini na kitandani ili kila saa ujikune usilale hata dakika ili usipitwe na viroja Kama hivi
Daaah!!! Bora mie nipotee tena nisijepata maneno kama haya maana nahisi ntamkata mtu ngwala na hasira zangu za panzi.
Ha ha ha mti ishaanza kuteleza eeeh tuwekee picha ya eve bhaasi
He he he aseee naona unasubiri meli airport....
Ningekufa ww ungepata faida gani hehehe
Povu zinamtoka shombe lol ......
Nshaona huu upepo hajui tumevaa helmet za kuzuia
miss crash mambo
Shoga kama kagoma kuweka weka mwenyewe babuuu! Kutiana hamu tu.
Sawa best tulikuwa tunajitahid picha ziwekwe shosti ana Id kibao analazimisha ushoga kwa eve afu anatishia nyau watu wazima
Hapo tunaomba mods asifunge huu Uzi had SAA 7 atuwekee hizo picha alafu afe tukazike population ipungue ....asipoweka picha ataonekana *****
Ha ha ha mti ishaanza kuteleza eeeh tuwekee picha ya eve bhaasi
Yaani mi pia nahesabu dakika tu
Hapa hupati negative wala passport....
Hehehehehehehheheheheheheheheheheehheehhe wacha nifurahi mie mtoto wa kipare og mixer mpembaaa mwambien eve nmemwachia mbeba mizigo wake nipo na wat wa typ yangu stak shoboooo
Umeonaaa yaaan kelele zooote tangia Jana hana lolote
Tumechoma mishikaki wapi tumebadili mahindi wapi....hana hat kivuli chako
Mara nyingi watu wenye mashauzi ya hivi wanakuwaga wabovu hadi huruma
He he he umetiwa hamu eeee pole