Hajafa tu?

Status
Not open for further replies.
ukweli ni huu ukiwaza na kusemasema unakufa unakufa kweli.... kule hospitalini unakuta mtu anasema mimi aitapona nita kufa kweli anakufa soon please maneno huumba
 
watu tuna hasira huyu mwenzetu amegoma kufa. Watu tulijipanga kuzamia meli

Hivi ndio kagoma kweliii auu baadae atadedii unajuaa siaminiii mimii yaan watu tulitaka maji ya chupa ya bure,na kupiga picha za kuwekaa instagram aisee
 
Wanatuchosha tangia jana haweki hadi season one imefungwa aweke mapema kwa maana asipoweka tutamshangaa sana

yaan asipoweka ndo tutajua ana id 70 umu,na aliyokuwa anasema against eve nadhan ndo yatakuwa yake
 
masai dada nipe summary ya yaliyojiri Jana plz

umukagame alisema anataka kufa,watu 99.9%ikiwemo mimi tukamshauri afe na tukaanza rambirambi na michango mingine,sasa kisa cha yeye kutaka kufa ni anadai ana boy wake wazaz hawamtaki,kumbe ana id nyingine nani kaigundua ni evelyn salt,sasa kumbe ashapost post nyingine mchana akidai anampenda mumewe unaona sasa eve ndo akagundua,sasa akawa ana bifu na eve wacha wacharuane,umukagame akawa anafanya defense mechanism ya matusi ndo maana ule uzi ulifungwa
 
Last edited by a moderator:
yaan asipoweka ndo tutajua ana id 70 umu,na aliyokuwa anasema against eve nadhan ndo yatakuwa yake

Umeonaeee Mimi, dina, watu 8 tushajitolea kwa mazishi uuuuwi embu afe na damu yake ya kunguni ila kabla ya kufa aweke picha na no za eve
 
masai dada nipe summary ya yaliyojiri Jana plz

kwa hiyo akawa mara aseme anamjua evelyn salt mara sijui ataweka namba zake sijui picha watu tumesubiri weee hakuna kitu dahh mpaka sired imefungwa hakuna kitu,
 
Last edited by a moderator:

Duuuh hii picha ilikuwa. Kali Sana....
.
 
Umeonaeee Mimi, dina, watu 8 tushajitolea kwa mazishi uuuuwi embu afe na damu yake ya kunguni ila kabla ya kufa aweke picha na no za eve

angekuwa anazo angeshaweka hana wala hamjui nishamuona muongo ila kasema saa 7 ataweka
 
Acha uongo, humu ndani najuana na ladies wawili tu ambao nshaonana nao
charminglady na beiby nasty
Usilazimishe kujuana mi najua id yako tu.....

naona unamkana live ..............umetisha
 

Una kipaji, utamfaa shigongo wewe....
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…