Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,903
- 172,762
Kanifananishaa ni mimii aiseee ndio nipo kulee nilimchambaaa mpaka basiiiiii
Unadhani kuacha ugali jambo dogo eeehhh
Umeonaeeee anatishia nyau watu wazima...
na www acha ubahili basiii! Aaagh hebu lete yale makitu watu waanze application hapa. Teh teh teh!
Unataka namba au picha?
hata sielewi kinachoendelea
Nitalia mpaka basi, tena nakuja nimegonga viroba jogoo acha kabisa nikilia sinyamazi
nikigonga kiroba machozi debe.....
ndizi yangu kwenye pochi nakula mpunga huyooo narudi zangu uswazi
hata sielewi kinachoendelea
vyoote itakuwa poa sana tukuone laivuuuuuuuu
Unataka namba au picha?
hata sielewi kinachoendelea
Ha ha aweke miguuu na mpododo ndo muhimu kwa maana tangia jna tunasubir tuuu tumechoka
Na utasubiri sana! Muone kwanza. Sijiui mie, nimuache paw mumrithi?
Saa 7 kamili picha onlyn
Leoo mkiweka picha uniite niko around
vyoote itakuwa poa sana tukuone laivuuuuuuuu
Kumbe we ni teamsintah teh sijawahi kuvutiwa nae mie
bora nikacheki kwa lemutuz akiwa na mabebs you know....
mmmh! Miguu na mpododo wale wazee wa CHAPUTA itakuwa ndio chansi kwao kuingia bafuni hahahaaaa