Nlikuwa na strees sana nlivyoingia hum nkazd kuchngnyikiwa bt yalishapita ya jana!nikipanga tna utajulishwa
Wadau nimeona uzi hapa kuwa umukagame anatamani afe..... wadau wakampa ushauri... 99% walisema bora afe... nahitaji kujua status yake msiba uko wapi?? Evelyn Salt, Vaislay, mshana jr, mgiriki, Heaven on Earth, Matokeo1, miss chagga, l
Kafia kwenye kifua cha boy wake usiku kucha, hope kumekucha atafufuka msubilie.....
Ckukutukana nilizinguana na eve na tunajuana usiingilie ishu usizozijua na zisizokuhusu mkuuu
ujumbe mzur na mahusus kwa wachache wasiojitambua.... Nmekupenda bure
Hehehe, mie nipende kwa hela plz.
Kwa hiyo kinachonihusu ni mchumba wako muislamu na wewe kutaka kujiua? Uko sawa kweli wewe? Kama mnajuana si mtafutane huko huko mmalizane? As long as umeyaweka humu jf yananihusu sana. Mimi ndio nina option ya kujihusisha ama kutojihusisha, you dont call the shots here babe!
Wakiweka picha uniite

Mtanange tena?????? leo mtuwekee picha kabisa ndo mtanange utakuwa mzuri na hakuna kufa mtu hapa
Any way huyo gal tulivurugana kwa sinta kule unaona eeh akawa ananifuata hafi huku nilimnyamazia ikashindikana na mie binadam pia,,af lengo lngu kuja ndk hum sikiwa namtafuta yy bal yy ndiy aliyntafuta
Basi yaishe dada, jitahidi kudhibiti hasira zako.
Pliiiiz usiwape watu faida, we nyamaza! Ukinyamaza hutoumia wala kuchubuka.
Ckukutukana nilizinguana na eve na tunajuana usiingilie ishu usizozijua na zisizokuhusu mkuuu
Acha uongo, humu ndani najuana na ladies wawili tu ambao nshaonana nao
charminglady na beiby nasty
Usilazimishe kujuana mi najua id yako tu.....
Wakiweka picha uniite
Samaleko!!!!