Hajafa tu?

Status
Not open for further replies.
hahahaaaa! Anakuzingua huyo anakutega tu. Hata hapa tunvyoongea yupo kwenye sofa kaweka kichwa chake kifuani kwangu. Tunakupimia tu unavyotaka kunipanga folen
mwenzio nipo kanisani kwenye maombezi we unasema tupo sofani!!!!!
 
Ningekufa ww ungepata faida gani hehehe

umukagame;
Faida mbona kuubwa tu. Kwanza tungekuwa tunakutolea mfano kwa mwingine yeyote anayetishia maisha humu jf. Pili, watu wangekulilia sana kwani unaonesha bado unadundisha saana tu huko uliko.
Pole sana, next time unaweza jikuta umefanya kweli iwe hasara kwako.
 
Kuna mtu anaweza kunipa muhtasali wa kilichotokea kati ya huyo Kagame sijui na EVELYN SALT!!Japo kwa kifupi tu.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…