Hajafa tu?

Status
Not open for further replies.
Anaogopa foleni atachelewa kufika.. Mu-sir mwenywe kampa go ahead na kamwambia hana BInduki lakini haelewi

naogopa folen kwasababu ipo sku ntachepuka ili kufika haraka lakn kwa Nameless najua njia nyeupee ntakuwa peke yangu hata sitakuwa na ham ya mchepko
 
Last edited by a moderator:
huyu ana lake jambo.... labda shostiii ujaribu kumwendea kwa yule babu anayefanya kazi kwenye misitu ya congo labda atakuelewa!!!

hata aende nigeria lakn nyota imenasa kwako kama sumaku vile usijikane bebee
 
hata aende nigeria lakn nyota imenasa kwako kama sumaku vile usijikane bebee
lol.. hapa kujikana lazima, ngoja dadiii angu Excel akirudi kutoka ughaibuni nimuombe ushauri kuhusu wewe... lazima nimshirikishe...
 
Last edited by a moderator:
huyu ana lake jambo.... labda shostiii ujaribu kumwendea kwa yule babu anayefanya kazi kwenye misitu ya congo labda atakuelewa!!!

Dear misitu ya Congo mbali naenda misitu ya Ngende kuna utaalamu wa haja..atajuta kunifahamu huyu Mgirik
 
Last edited by a moderator:
Leo nina Miadi na TATIANA pamoja na Mgirik ngoja ninoe panga langu vizuri tule nyama na my Beibi TATIANA maana siku nying kweli hatujala nyama
 
Last edited by a moderator:
Sio usiku tu hata alfajiri..tunapata bed breakfast then tuendelee na yetu.. Mu-sir babe nisogezee juice hapa.
TATIANA Nakuletea ya mango sasahivi. Bed breakfast was super good unastahili zaidi ya Juice babey
 
Last edited by a moderator:
TATIANA Nakuletea ya mango sasahivi. Bed breakfast was super good unastahili zaidi ya Juice babey

Yaani kwa kujijali tu umeejaaliwa mpaka nahisi Kama naelea hewani
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…