BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,015
Aksante sweetie kwa jhiki kipande maana asubuhi hii tulivu ah!! naburudika.
Haya basi sio upotee tena wengine Paw anatutisha na protectors wetu kama wewe mnakuwa hampo! au ndo unapenda lakini kazi zaidi hahahahahah. oa
Dah! hahahahah umenigeuzia kibao hapa hapa Kupenda kazi muhimu mpenzi ndiyo inayoniweka mjini na kuweza kujidai katika kona mbali mbali za jiji
Last edited by a moderator: