haiwezekani kupenda kuliko kitu chochote! ...mnh?

Nakupenda sana lakini kuna kitu siwezi kukiacha!! Mh! Hii ni ngumu kumesa babaangu unless kiwe hakina ukwazo mkuuubwa kwa mpenzio. Mfano mpira. Lakini kama unapenda akina dada/kaka poa halafu unaconfess/ungama!!

...lol....mwj1 is that your confession mamaa?....
 
My bad kumbe tunatakiwa kuconfess tu si kujadili kama ni sawa au si sawa hahah!

Well nakupenda lakini novels ni zaidi ahaa!
romeo1.JPG

...noted,....hata ukibembelezwa 'ugeukie huku' unalalama eti unamalizia ukurasa mmoja...!....
 
kuna vitu vya ku confess na vingine ni bora uviache kama vilivyo...lol

mfano nakupenda saana,but nikiona mdada mwenye wowowo kukuzidi...naishiwa nguvu kabisaaa....i cant help it...lol
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa bora tu usiseme loh!
 
romeo1.JPG

...noted,....hata ukibembelezwa 'ugeukie huku' unalalama eti unamalizia ukurasa mmoja...!....

Hahahahahah loh hapo umenipatia loh! Hapana bana nadhani sina kitu cha kumlinganisha nacho mwenzi wangu ingawa ninapenda sana novels na movies ila nafasi yake ipo.

Labda nijichunguze upya!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
sijaelewa....

...hivi ee?...haya ngoja nimhoji tena mwj1 hapa labda utapata nuru...

Hahahahahah loh hapo umenipatia loh! Hapana bana nadhani sina kitu cha kumlinganisha nacho mwenzi wangu ingawa ninapenda sana novels na movies ila nafasi yake ipo.

Labda nijichunguze upya!

...mwj1,...hivi ushawahi tokewa na jambo ambalo baada ya kulitenda unashtukia loohh, mwenza wangu anakwazika nikifanya jambo hili...

mfano....; mara kwa mara anakushauri kwa faida yako, usichelewe sana kurudi nyumbani kwani kwake yeye anaona ni kigezo fulani muhimu cha tabia inayokubalika...lakini kwakuwa wewe una pendelea zaidi 'uhuru' wako, haupo tayari kubadilika...

that's what i mean kwa unyuzi huu,...
kuna watu hata wajitahidi vipi, wanajikuta wameteleza na kurudia kulekule...
...i hope bahati na mwanajamiione mmenielewa...
50510_57005550660_5246282_n.jpg
 
Mh hapa!
Nafikiri inategemea Mbu kwa mfano ukisema kuchelewa nyumbani kila siku hapana hiyo ni ngumu! Mara moja moja itaeleweka pengine umekutana na friend wa muda mrefu, mambo yanapamba moto ghafla imeshagota usiku mwingi.

Issue nyingine kama alivyosema The Boss awe mkweli kuwa akimwona mwanamke mwingine alojaaliwa kuliko, nadhani hii The Boss aiungamie utumboni kabisa maana moyoni, sauti inawezakuwa kubwa ikatoka mdomoni maana uko karibu
 
...dahh, haya mwj1 umesomeka....nimekumbukia swali nililoulizwa first left bar -sakina, na soulmate wangu! hahahaha...!
 
Lol Mbu uliulizwa nini kwani?! Usikute ulikuwa unaangalia mawowowo kama The Boss loh!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Lakini ukifikiria sana unagundua kuwa hii thread ina mengi! Nakumbuka nlishawahimsikia mdada analalamika .... Hee eti G (huyu alikuwa mumewe) ananikataza nisiongee na Mwashoga! Hivi anaujua uswahiba wetu huyu?! Mtu amekuwa rafiki yangu tangu huko! Afu leo mwanaume atuachanishe!!! ..... Mbu hii thread hii!! Cjui!
 
dahhh, mwj1 nilipitiwa na kausingizi kidogo hapa...ngoja nikujibu ifuatavyo...
kesi ya 1stleft- arusha, nilishawahi muonya soulmate wangu mimi sio mtu wa
bar na pubs... sasa yeye akanilazimisha ati tukienda huko nitapata mtori safi kabisa...
matokeo yake nikajikuta namshangaa dada poa alivyokuwa ananishangaa...
sijui alinifananisha?

kuhusu mdada kukatazwa kuongea na shoga wake wa miaka nenda rudi, huwezi jua bana...
nitakupa mfano mmoja. mimi nawe tupo kwenye mahusiano...halafu nikakutambulisha kwa
best wangu ambaye pamoja na sifa zake za ucheshi, nakwambia nimetoka naye mbali sana huyu...
hata mademu wote alikuwa ananiunganishia yeye, ndio mtunza siri wangu huyu...

utaniruhusu kwa roho nyeupe niendelee nae urafiki bila mashaka?
 
Ni vizuri kuwekana wazi interest zetu, kwa mfano mimi nikigundua kama kuna mechi ya riverpool basi huwa najua hapo kuna mawili kupata unyumba kama imeshinda au kununiwa na kunyimwa unyumba kama imeshindwa mechi. Tangu nilipolijua hilo sipati shida kwani ni kitu mbadala anachopenda mwenzi wangu.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
usher-confession.jpg
...pamoja na kupendana saaaaaaana na mke/mume, binafsi nadhani kuna haja ya 'kuungama' kwa mwenza wako katika hatua za awali mfano;

"mwenzangu, pamoja na kukupenda saana mpaka usiku kucha silali, pia napenda pombe!"
au...

"ewe wa rohoni mwangu, usiponiona kwako...ujue barcelona na messi wameniteka akili!"

...au nyie mnaonaje wenzangu?...nyie mna confess vipi ili kuondosha 'kutokueleweka' kwa wapenzi wenu?

Haya banaaa pamoja na kumpenda saaanaaa pia unapenda sana na kandanda labda pia una mapenzi makali na 'nyagi pia lol! mapenzi unayachakachua tu ukija kushtuka penzi lote limepotea!!!!

Last edited by a moderator:

Aksante BAK hili lako neno! Sina la kuongezea.

Afu umepotea jamani ni nini lakini kutupa wenzio jaka la moyo?!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
dahhh, mwj1 nilipitiwa na kausingizi kidogo hapa...ngoja nikujibu ifuatavyo...
kesi ya 1stleft- arusha, nilishawahi muonya soulmate wangu mimi sio mtu wa
bar na pubs... sasa yeye akanilazimisha ati tukienda huko nitapata mtori safi kabisa...
matokeo yake nikajikuta namshangaa dada poa alivyokuwa ananishangaa...
sijui alinifananisha?

kuhusu mdada kukatazwa kuongea na shoga wake wa miaka nenda rudi, huwezi jua bana...
nitakupa mfano mmoja. mimi nawe tupo kwenye mahusiano...halafu nikakutambulisha kwa
best wangu ambaye pamoja na sifa zake za ucheshi, nakwambia nimetoka naye mbali sana huyu...
hata mademu wote alikuwa ananiunganishia yeye, ndio mtunza siri wangu huyu...

utaniruhusu kwa roho nyeupe niendelee nae urafiki bila mashaka?

HAhahahhahahaha I bet kama Soulmate ako hakutaka kukuhamisha kiti! Loh yaani utazamane na dadapoa afu arelax tu? Wale bwana kama wachawi huongea na macho yao tu unashtukia unavutika. Naamini hapa Soulmate alikuwa anajaribu kuprotect himaya yake.

Hapo pa kuachanisha marafiki nadhani uko right. Ni kweli kabisa wapo wale ambao anajifanya anampenda mpenzi wake lakini anampenda rafiki zaidi! Lol
 
Aksante BAK hili lako neno! Sina la kuongezea.

Afu umepotea jamani ni nini lakini kutupa wenzio jaka la moyo?!

Hahahahah lol! Nipo mpenzi MJ1, ila kuna wakati majukumu yanakuwa mengi hivyo nafasi ya kuingia humu inakuwa finyu sana.

Last edited by a moderator:
Hahahahah lol! Nipo mpenzi MJ1, ila kuna wakati majukumu yanakuwa mengi hivyo nafasi ya kuingia humu inakuwa finyu sana.

Aksante sweetie kwa jhiki kipande maana asubuhi hii tulivu ah!! naburudika.

Haya basi sio upotee tena wengine Paw anatutisha na protectors wetu kama wewe mnakuwa hampo! au ndo unapenda lakini kazi zaidi hahahahahah. :poa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom