haiwezekani kupenda kuliko kitu chochote! ...mnh?

Aksante sweetie kwa jhiki kipande maana asubuhi hii tulivu ah!! naburudika.

Haya basi sio upotee tena wengine Paw anatutisha na protectors wetu kama wewe mnakuwa hampo! au ndo unapenda lakini kazi zaidi hahahahahah. :poa

Dah! hahahahah umenigeuzia kibao hapa hapa :):):) Kupenda kazi muhimu mpenzi ndiyo inayoniweka mjini na kuweza kujidai katika kona mbali mbali za jiji :):)

Last edited by a moderator:
Haya banaaa pamoja na kumpenda saaanaaa pia unapenda sana na kandanda labda pia una mapenzi makali na 'nyagi pia lol! mapenzi unayachakachua tu ukija kushtuka penzi lote limepotea!!!!

....dahhh, sasa mbona unaniongelea mimi bana?...

Aksante sweetie kwa jhiki kipande maana asubuhi hii tulivu ah!! naburudika.

Haya basi sio upotee tena wengine Paw anatutisha na protectors wetu kama wewe mnakuwa hampo! au ndo unapenda lakini kazi zaidi hahahahahah. :poa
i love you...
images
..., but i love my mobile phone more...

Dah! hahahahah umenigeuzia kibao hapa hapa :):):) Kupenda kazi muhimu mpenzi ndiyo inayoniweka mjini na kuweza kujidai katika kona mbali mbali za jiji :):)

...lohhh,....kupenda kazi kumbe nayo ina fall kwenye category hii?
nyie watu mnanirudisha kwenye threads za wheel of balance sasa...
unakuta mke kila siku anarudi na mafaili kibao nyumbani 'kuendekeza kazi'....

....mume kwa boredom anaishia kuangalia vipindi vyote vya tv vilivyo na
maana na visivyo na maana....mwishowe anajionea bora aanze kuwa mzururaji nje...!
 
Hahahahah Mbu hii ya Mobile Phone hii mh!!

But seriously mylov hebu ifikirie hii situation ya mnakutana watu ambao tayari ni wazazi (yaani mlishakuwa na relationships huko nyuma ambako mmejaaliwa watoto). Itaeleweka kweli mwenzako akiconfess kuwa Mbu, I love you so very much BUT I love my son more?!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

...hapana, hapana...hujanielewa ewe mwj1...

kwenye topik hii sizungumzii mapenzi ya mzazi kwa mtoto, kwa familia nk...nazungumzia confession ya vitu ambavyo vina direct impact kwenye mapenzi ya watu kiasi kwamba hata mtu akikwambia nakupenda kuliko kitu chochote,, ipo siku tu atatoa makucha yake na kukuonyesha nini hasa anachokipenda kuliko kitu chochote...sio wewe...!
ndio maana kwa mkubwa BAK nilimwambia kazi sidhani kama inaingia kwenye category hii 'directly'...

...unakumbuka ulisema novel? ....kuna wengine wao wametekwa akili na movies, "2nd chance" ndio inayokera these days...
wengine wametekwa akili na pombe, wengine mpira, wengine wakozimeni, wengine mobile phones...yaani akilala anayo, akishtuka usiku wa manane anaitazama na kutomasa tomasa...almuradi, ni vitu ambavyo ukitaka kujua athari ya mapenzi yake kwako, chunguza siku akikosa kupata "dose" yake ya hiyo addiction...

btw; i love my kids bbz, i love my princess more than anything but i adore your prince as well...
 
...hapana, hapana...hujanielewa ewe mwj1...

kwenye topik hii sizungumzii mapenzi ya mzazi kwa mtoto, kwa familia nk...nazungumzia confession ya vitu ambavyo vina direct impact kwenye mapenzi ya watu kiasi kwamba hata mtu akikwambia nakupenda kuliko kitu chochote,, ipo siku tu atatoa makucha yake na kukuonyesha nini hasa anachokipenda kuliko kitu chochote...sio wewe...!

Ok hapa tunazungumzia vitu sio watu? coz if that is the case basi tuwaondoe marafiki kama tulivyokuwa tunadiscuss hapo juu. Pengine sijaelewa vizuri. So simu, pombe, kuchelewa kurudi, kazi, mpira e.t.c ndio unavyozungumzia?

ndio maana kwa mkubwa BAK nilimwambia kazi sidhani kama inaingia kwenye category hii 'directly'...
unakumbuka ulisema novel? ....kuna wengine wao wametekwa akili na movies, "2nd chance" ndio inayokera these days...
wengine wametekwa akili na pombe, wengine mpira, wengine wakozimeni, wengine mobile phones...yaani akilala anayo, akishtuka usiku wa manane anaitazama na kutomasa tomasa...almuradi, ni vitu ambavyo ukitaka kujua athari ya mapenzi yake kwako, chunguza siku akikosa kupata "dose" yake ya hiyo addiction...

Okay nimekuelewa but kajiswali ka kiuzushi................. supposed nilichokisema mwanzo (loving my kids more than you!!) kiasi kuwa unajikuta unakuwa sidelined, nikiwa na prince wangu ni kama vile wewe you are not in the picture and ikihappen kuna kutokuelewana kati yako na my prince mimi niwe natake sides na prince( yes coz I love him more than anything!?). Wont it be a threat to your relationship?..................AU HII NI TOPIC NYINGINE INAYOJITEGEMEA? Lol
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

Ok hapa tunazungumzia vitu sio watu? coz if that is the case basi tuwaondoe marafiki kama tulivyokuwa tunadiscuss hapo juu. Pengine sijaelewa vizuri. So simu, pombe, kuchelewa kurudi, kazi, mpira e.t.c ndio unavyozungumzia?

Okay nimekuelewa but kajiswali ka kiuzushi................. supposed nilichokisema mwanzo (loving my kids more than you!!) kiasi kuwa unajikuta unakuwa sidelined, nikiwa na prince wangu ni kama vile wewe you are not in the picture and ikihappen kuna kutokuelewana kati yako na my prince mimi niwe natake sides na prince( yes coz I love him more than anything!?). Wont it be a threat to your relationship?..................AU HII NI TOPIC NYINGINE INAYOJITEGEMEA? Lol

...lol...mwj1,....kuna watu wapo addicted na "show" za twanga pepeta, xtra bongo, kitu tigo, kanga moja, laki si pesa etc....
hizo show haziwezi kamilika bila wacheza show...

likewise, nimetoa mfano wa "2nd chance"--- series zinazoendelea sasa hivi kwenye luninga, kiasi kwamba unaweza kuachwa
peke yako chumbani kisa sinema imeanza....

mpira, pombe, kamari vile vile....nk nk....vyote hivi vina link directly kwenye mada hii, lakini ili kufanikisha hilo...watu nao indirectly wanaingia....! ndio maana nikaandika tu focus kwenye vitu kwanza...maana watu tushawalaumu tangu zama za adamu na hawa kwamba ndio ibilisi wa mtu...

mwj1 ukiwa na tabia ya kurudi nyumbani usiku wa manane kwakuwa ulikuwa kwenye "kikao" na washkaji, nani alaumiwe hapo? marafiki waliokusahaulisha mumeo nyumbani au pombe?
;)
 
Oh hapo nimekuelewa Mbu.

Kuhusu kuchelewa kurudi inategemea lol....inawezekana wa kulaumiwa si watu wala pombe kivipi?!
Kama katika hao watu (mafariki ulokuwa nao) hakuna alokushinikiza uchelewe kuondoka kikaoni ni wazi kuwa wa kulaumiwa ni wewe mwenyewe.
Kuhusu pombe, sometimes tunaionea tu..........mimi kama mimi nazibeba lawama zote na kukiri kosa. (Ila sitoahidi kutorudia tena) hahahahh am kidding bana
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
...the boss, bora umeungama leo hahaha..
Heri yako unaye
tazama tu ukaacha ende zake.
I hope hata wale wapenda ngono wata confess leo..

Hapo ndio mnapokosea, hamtakiwi kabisa kutazama, mnatakiwa kuangalia tu.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hapo ndio mnapokosea, hamtakiwi kabisa kutazama, mnatakiwa kuangalia tu.

...lol,..bora kutazama unapesa macho tu...kuangalia ni kuhakikisha unaridhika na ulichokiona na kwa uthibitisho.
...is it your confession? kuna watu wanaangalia na kujisahau,...
5812557-surprise-concept--amazed-and-confuse-man.jpg
midomo wazi na udenda unawatoka mpaka uwakurupue kwa kofi...
 
...lol,..bora kutazama unapesa macho tu...kuangalia ni kuhakikisha unaridhika na ulichokiona na kwa uthibitisho.
...is it your confession? kuna watu wanaangalia na kujisahau,...
5812557-surprise-concept--amazed-and-confuse-man.jpg
midomo wazi na udenda unawatoka mpaka uwakurupue
kwa kofi...

loh mie ctaki maana kuna anayeshangaa akiwa kavaa miwani ya macho but mshangao wake anajikuta anatizamia chini ya miwani yaani ah!! We Mbu hebu usinikumbushe visivyostahili kukumbukwa!
 
....dahhh, sasa mbona unaniongelea mimi bana?...

i love you...
images
..., but i love my mobile phone more...

...lohhh,....kupenda kazi kumbe nayo ina fall kwenye category hii?
nyie watu mnanirudisha kwenye threads za wheel of balance sasa...
unakuta mke kila siku anarudi na mafaili kibao nyumbani 'kuendekeza kazi'....

....mume kwa boredom anaishia kuangalia vipindi vyote vya tv vilivyo na
maana na visivyo na maana....mwishowe anajionea bora aanze kuwa mzururaji nje...!

Hahahahah lol! Sikuongelei wewe Mkuu huo ulikuwa ni mfano tu :):)....We acha tu hayo ya kurudi nyumbani na mafaili kila siku yanaleta matatizo makubwa sana kwenye mahusiano. Wengine saa saba za usiku wako vitandani na laptop....eti wanafanya kazi!!!? ....hapa hukawii kusikia mtu kahama chumba kwa usumbufu wa kila siku 24/7

Siku hizi ili kupunguza matatizo kama haya baadhi ya wajenzi wa nyumba katika nchi za wenzetu wanajenga nyumba zenye masterbedrooms mbili. Baba mwenye nyumba ana chumba chake na mama halikadhalika...tobaaaaa mke na mume kila mtu anachumba chake ili kupunguza purukushani kama hizi za kupenda kazi kupita kiasi. Wakitaka kunanihii :) basi wanaweza kutumia chumba chochote na wakimalizana kila mtu anakuwa chumbani kwake!!!!!
 
Nakupenda sana lakini kuna kitu siwezi kukiacha!! Mh! Hii ni ngumu kumesa babaangu unless kiwe hakina ukwazo mkuuubwa kwa mpenzio. Mfano mpira. Lakini kama unapenda akina dada/kaka poa halafu unaconfess/ungama!!

Nakubaliana na wewe dada yangu...

Kama ni haya mambo ya kawaida ambayo hayahusishi hisia za kimapenzi, nadhani yanavumilika......Ila mambo kama hayo ambayo kayataja The Boss yanatakiwa kufichwa moyoni na kichwani maisha yako yoote! Devilish confessions hazima maana yoyote wala umuhimu....sana sana zniaweka mahusiano rehani!!
 
Hahahahah lol! Sikuongelei wewe Mkuu huo ulikuwa ni mfano tu :):)....We acha tu hayo ya kurudi nyumbani na mafaili kila siku yanaleta matatizo makubwa sana kwenye mahusiano. Wengine saa saba za usiku wako vitandani na laptop....eti wanafanya kazi!!!? ....hapa hukawii kusikia mtu kahama chumba kwa usumbufu wa kila siku 24/7

Siku hizi ili kupunguza matatizo kama haya baadhi ya wajenzi wa nyumba katika nchi za wenzetu wanajenga nyumba zenye masterbedrooms mbili. Baba mwenye nyumba ana chumba chake na mama halikadhalika...tobaaaaa mke na mume kila mtu anachumba chake ili kupunguza purukushani kama hizi za kupenda kazi kupita kiasi. Wakitaka kunanihii :) basi wanaweza kutumia chumba chochote na wakimalizana kila mtu anakuwa chumbani kwake!!!!!

Mpenzi, hii post yako imenifanya niwaze mara mbili mbili............Hivi si wanasema wanaume wanakuwa aroused haraka by physical triggers?? Sasa inapofikia hapa kuwa umekuja nyumbani na mafaili yako ukaenda hiyo masterbedroom yako mie nkikufuata na vijiuchokozi siwezifanikiwa kukudistract japo kwa dakika 10. Ukanitimizia haja zangu (na wewe) kisha nikakuacha kwa amani uendelee kumtumikia mkoloni wako??
Kuwa kuliko kukuacha uzame kwenye mafaili yako na kuiangalia haki yangu ikihujumiwa, nitumie mbinu zangu kukuallure?!
 
Hivi Mbu hapa inabidi tufanye CONFESSIONS eheee, sasa Mbu umenikumbusha wakati nafanya kazi kampuni moja ya simu kuna vitu inabidi ku-monitor ukiwa nyumbani sasa ukifika nyumbani unasalimia watu wewe huyo na laptop yako hata msosi haukumbuki hapo tayari niliisha-download series na movies za kutosha acha tu watu wanakufichia hadi cable makusudi ili laptop iishe chaji
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mpenzi, hii post yako imenifanya niwaze mara mbili mbili............Hivi si wanasema wanaume wanakuwa aroused haraka by physical triggers?? Sasa inapofikia hapa kuwa umekuja nyumbani na mafaili yako ukaenda hiyo masterbedroom yako mie nkikufuata na vijiuchokozi siwezifanikiwa kukudistract japo kwa dakika 10. Ukanitimizia haja zangu (na wewe) kisha nikakuacha kwa amani uendelee kumtumikia mkoloni wako??
Kuwa kuliko kukuacha uzame kwenye mafaili yako na kuiangalia haki yangu ikihujumiwa, nitumie mbinu zangu kukuallure?!

MJ1 we acha tu! ukipewa 10 minutes utasema hazitoshi :):) weekend yote hii nataka kuwa na mume/mke wangu unanipa 10 mins tu we hunipendi siku hizi!!!! Hapana banaaa nakupenda lakini hii kazi lazima niikamilishe leo hii hivyo naomba unielewe tu!!! Hapo mtu ananuna na si ajabu amani ndani ya nyumba kupotea. Ila kama una mbinu unazozijua za kumfanya jamaa asahau mafaili yake :) angalau kwa usiku mmoja na kumpa mpenziwe special attention basi RUKHSA! hahahahah lol! Mahusiano ya miaka hii yana majaribuni chungu nzima ambayo Wazazi wetu hawakuwa nayo.
 
Hahahah BAK hebu nisseme mengi nkaumwa na Mbu bure mie. All in all nadhani kuna kufikiriana. Ni kweli una kazi watakiwa iishe usiku huo, na kama mie siwezivumulia (kwa kuwa may be kazi hiyo imechukua siku tatu mfululizo bila mie kukidhiwa) ah ntafanya juu chini uisahau japo kwa masaa mawili hivi then nakurudisha kazini mwenyewe. Yaani hata ikilazimu tu'hangaike' kwenye study room juu ya mafaili. After there baba kalamu, laptop na faili hili hapa. Usiku mwema.

Naamini nawe utakuwa umepata nguvu za ziada.
 
...mwj1 wewe confession yako ipo kwenye mafaili tu, are you a workaholic?...lol!
 
Hahahah BAK hebu nisseme mengi nkaumwa na Mbu bure mie. All in all nadhani kuna kufikiriana. Ni kweli una kazi watakiwa iishe usiku huo, na kama mie siwezivumulia (kwa kuwa may be kazi hiyo imechukua siku tatu mfululizo bila mie kukidhiwa) ah ntafanya juu chini uisahau japo kwa masaa mawili hivi then nakurudisha kazini mwenyewe. Yaani hata ikilazimu tu'hangaike' kwenye study room juu ya mafaili. After there baba kalamu, laptop na faili hili hapa. Usiku mwema.

Naamini nawe utakuwa umepata nguvu za ziada.

Hahahahah lol! Mbu gani unayemzungumzia hapa MJ1? :):):)....Unazungumzia kuumwa na Aedes, Anopheles, Culex au Mbu Mtu? hahahahah lol! We acha tu haya mambo :)...siku tatu una haki zote za kupandisha jazba ili utimiziwe shida zako vinginevyo ndani hakukukaliki wala hakuliki :):) na lazima uwe na strategies za kuhakikisha mafaili au lap top yanawekwa/inawekwa pembeni angalau kwa masaa machache :):):) ili moyo wako ukaridhishwa na kile ukitakacho.

Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom