Nipo shule naishi mazingira ya hosteli chumba chetu tupo watatu,lakini kwanini kila nikilala naota huyu mmoja ananichezea? Nakuwa namwona kwa macho nikiwa kwenye njozi.
Jana nikaota kuna kitu ananidondoshea kama chenye maji upande wa bega huku nikiwa nimelala yeye analala kitanda cha juu Mimi cha chini hii ni njozi ya tatu namwota yeye tu kwanini nisimwote mwezake?
Kuna siku nikaamka nikakuta shuka langu limelowa kipande fulan nikajua labda kakojoa palikuwa na duara kubwa lenye maji nikajua mikojo imeshuka toka juu nikakagua godoro lake hata hakukojoa nilishangaa sana tukio ilo nikaamua kwenda kufua shuka na kuweka jingine.
Najiuliza kwanini kila ndoto nimuote yeye saizi nimetokea kumchukia sana, tunasalimiana tu baada ya hapo kila mtu na mishe zake. Baada ya hayo matukio nikamwambia tufunge maombi mbona kila siku nakuota wewe kwenye njozi?
Baada ya kumwambia imechukua mda mrefu sana sikuota tena ndoto kuhusu yeye nimefika kuota Jana ananimwagia kitu fulani chenye asili ya maji nikaamka nikasema kwa nguvu ushindwe katika jina la yesu badaye nikalala tena.