Haiwezekani kila nikiota namuota yeye tu!

odamae

Senior Member
Nov 5, 2020
163
291
Nipo shule naishi mazingira ya hosteli chumba chetu tupo watatu,lakini kwanini kila nikilala naota huyu mmoja ananichezea? Nakuwa namwona kwa macho nikiwa kwenye njozi.

Jana nikaota kuna kitu ananidondoshea kama chenye maji upande wa bega huku nikiwa nimelala yeye analala kitanda cha juu Mimi cha chini hii ni njozi ya tatu namwota yeye tu kwanini nisimwote mwezake?

Kuna siku nikaamka nikakuta shuka langu limelowa kipande fulan nikajua labda kakojoa palikuwa na duara kubwa lenye maji nikajua mikojo imeshuka toka juu nikakagua godoro lake hata hakukojoa nilishangaa sana tukio ilo nikaamua kwenda kufua shuka na kuweka jingine.

Najiuliza kwanini kila ndoto nimuote yeye saizi nimetokea kumchukia sana, tunasalimiana tu baada ya hapo kila mtu na mishe zake. Baada ya hayo matukio nikamwambia tufunge maombi mbona kila siku nakuota wewe kwenye njozi?

Baada ya kumwambia imechukua mda mrefu sana sikuota tena ndoto kuhusu yeye nimefika kuota Jana ananimwagia kitu fulani chenye asili ya maji nikaamka nikasema kwa nguvu ushindwe katika jina la yesu badaye nikalala tena.
 
Mwite muwe wawili tu alafu mchane live aache Mambo ya kipuuzi na michezo yake umeishtukia
Nilishamwambia ivi kwanini nakuota wewe kila siku kuna siku alinipulizia upepo mkali ili nisisome nilale,ilikuwa ivi nililala badae nikaamka lakini haikuchukua sekunde nikalala tena nikaona amechukua shuka kanikung utia uson mara moja ile kama ya kukupepea iyo ilikuwa ya pili naix hii ya nne sio ya tatu ni uyu uyu mbon mwezake nashindanae kila siku humu sijawahi muota uyu mwingine ni mtu wa dini sana
 
Swali ninalojiuliza kwanini nimwote yeye kila siku
 
Muone haraka psychiatrist akusaidie,una emotional distress,hauwezi ukasema ukasema unamchukia,alafu tena haumfikirii alafu tena unaleta uzi wa kulalamika hapa asubuhi hii(probably lazima unamuwaza ndio maana unamuota) na solutions zako za kufanya maombi ni dalili nyingine ya matatizo ya akili
 
Ata simuwaz coz mi na yeye ni vitu viwili tofauti tunakizana most of the time hatupatani so sinaga uo mda wa kumfikilia fikilia .

Anakuloga huyo kuna vitu kwako anataka! Kaa tu mbali kama yawezekana; Kama haiwezekani then:

  • Ongeza maombi.
  • Usimshirikishe mambo yako.
  • kuwa security conscious sana!

All the best
 
wewe ni kichaa(una matatizo ya akili)muone haraka psychiatrist akusaidie,una emotional distress,hauwezi ukasema ukasema unamchukia,alafu tena haumfikirii alafu tena unaleta uzi wa kulalamika hapa asubuhi hii(probably lazima unamuwaza ndio maana unamuota) na solutions zako za kufanya maombi ni dalili nyingine ya matatizo ya akili
Kuna reasons zinazofanya tusipatane kuna kitu kilitokea before
 
Nilishamwambia ivi kwanini nakuota wewe kila siku kuna siku alinipulizia upepo mkali ili nisisome nilale,ilikuwa ivi nililala badae nikaamka lakini haikuchukua sekunde nikalala tena nikaona amechukua shuka kanikung utia uson mara moja ile kama ya kukupepea iyo ilikuwa ya pili naix hii ya nne sio ya tatu ni uyu uyu mbon mwezake nashindanae kila siku humu sijawahi muota uyu mwingine ni mtu wa dini sana
Pole sana,au kama kuna possibility ya kuama hapo unapoishi ungefanya ivyo maana unakosa amani usije ukadisco bure
 
Muombee huruma ya MUNGU aache hizo tabia nahisi hata yeye zinamtesa sana kwa kuwa kila anachokufanyia usiku unakiona.

Mungu habagui Na anatupenda sisi sote .
 
Muombee huruma ya MUNGU aache hizo tabia nahisi hata yeye zinamtesa sana kwa kuwa kila anachokufanyia usiku unakiona.

Mungu habagui Na anatupenda sisi sote .
Mimi Nina asili ya kuona ndotoni nishafanyiwa na mengine huko nyuma kwenye ndoto ila ndoto zangu Mara nyingi ni za maono
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom