Haiwezekani kila nikiota namuota yeye tu!

Mimi Nina asili ya kuona ndotoni nishafanyiwa na mengine huko nyuma kwenye ndoto ila ndoto zangu Mara nyingi ni za maono
Ila sio huyu wengine tu ambao wananichezea chezea nakuwa kama naoteshwa matukio ndotoni yanayofanyika
 
ogea maji yenye kachumvi! wakati wa kulala paka maji ya chumvi kichwan! kitanda rushia maji ya chumvi lala utanipa majibu
 
Mimi Nina asili ya kuona ndotoni nishafanyiwa na mengine huko nyuma kwenye ndoto ila ndoto zangu Mara nyingi ni za maono
Mshukuru MUNGU kwa uwezo huo aliokupa . Mwambie Ahsante Mungu

Sio Rahisi kufahamu matendo mabaya ya adui yako.
 
Mimi nasoma chuo mar ya pili coz nyingin nishafanya kaz somewhere.nilivyomaliza chuo mara ya kwanza kuna siku niliota nimeajiriwa na kweli zikapita siku chache baada ya kupeleka barua ya maombi ya kazi nikaajiliwa,nimefanya kazi kuna siku nikaota nipo shuleni na wezangu tunasoma, na saizi kama unavyoona nipo shuleni tena.mungu ananipa matukio ya mbele sometime kwa ndoto mara ya kwanza nilisom cheti tu saizi nipo diploma mwaka wa mwisho huu namaliza
 
Ndo mana nikiota ndoto uwa nazifatilia sana kwasababu najijua,najua sio kila ndoto ni ya kweli ila Mimi ndoto zangu mara nyingi ni hali halisi
 
odamae et all.

Watu wanawachezea watoto wa wengine SANA. Duuuuu pole sana.

Fanya haya:

: Sali SANA Kwa roho na kweli, I mean pambana naye ki roho ile ki kweli kweli kwa maombi, sadaka na kufunga. If you know what I mean.

: Muchane 'live'. Muambie wazi unafahamu michezo yake anayofanya. Mwambie 'I will destruct you miserably'. Kama haamini aendelee atajuta kukufahamu, people tried me and they ended up into terrible destruction, I am just warning you.

: Weka Biblia kitandani mwako many times, just open it na usome mistari kadhaa, then fanya kama you are speaking to Jesus Christ akupe ulinzi wa kimwili, kiroho na kinafsi. Wakati wa kulala Bible weka eneo la kichwani mwako huku ukiwa umetamka maneno yenye 'nguvu za Mungu'.

: Kila kitu utakofanya from now onwards fanya katika Mungu. I mean unakunywa chai, kunywa katika Mungu; unafua, fua katika Mungu; unasoma, soma katika Mungu, and everything. I mean, meditate 'everything' katika Mungu.

Onyo: Usipochukua 'hatua stahiki' wataendelea kukuchezea chezea kila mmoja kwa wakati, in short unakuwa their 'playing ground', na maisha yako yatakuwa hivyo hivyo 'a low life person'

Glory be to God! Amen.
 
wewe ni kichaa(una matatizo ya akili)muone haraka psychiatrist akusaidie,una emotional distress,hauwezi ukasema ukasema unamchukia,alafu tena haumfikirii alafu tena unaleta uzi wa kulalamika hapa asubuhi hii(probably lazima unamuwaza ndio maana unamuota) na solutions zako za kufanya maombi ni dalili nyingine ya matatizo ya akili
Comment ya mchawi utaijua tu 😄😄
 
Nipo shule naishi mazingira ya hosteli chumba chetu tupo watatu,lakini kwanini kila nikilala naota huyu mmoja ananichezea? Nakuwa namwona kwa macho nikiwa kwenye njozi.Jana nikaota kuna kitu ananidondoshea kama chenye maji upande wa bega huku nikiwa nimelala yeye analala kitanda cha juu Mimi cha chini hii ni njozi ya tatu namwota yeye tu kwanini nisimwote mwezake? Kuna siku nikaamka nikakuta shuka langu limelowa kipande flan nikajua labda kakojoa palikuwa na duara kubwa lenye maji nikajua mikojo imeshuka toka juu nikakagua godoro lake hata hakukojoa nilishangaa sana tukio ilo nikaamua kwenda kufua shuka,na kuweka jingine najiuliza kwanini kila ndoto nimuote yeye saizi nimetokea kumchukia sana.tunasalimiana tu baada ya hapo kila mtu na mishe zake.baada ya hayo matukio nikamwambia tufunge maombi mbona kila siku nakuota wewe kwenye njozi? Baada ya kumwambia imechukua mda mrefu sana sikuota tena ndoto kuhusu yeye nimefika kuota Jana ananimwagia kitu flani chenye asili ya maji nikaamka nikasema kwa nguvu ushindwe katika jina la yesu......badae nikalala tena.
Chuoni wanafunzi wengi haswa toka mikoani ni wachawi....ilinitokea mimi kipindi nipo UDSM miaka hiyooo. Jirani yangu wa chumba cha pili alikuwa na mchezo wa kuja kutuchezea madushe usiku (kina John mnakumbuka), yaani alikuwa anakuja nafikiri na wazazi wake ama watu wake toka Rombo. Kwa hasira, siku moja nikamshukia asubuhi na kumkunja, nikampiga beat ya uhakika na kumwambia kila kitu hakubisha akasema nimsamehe. Toka siku ile hakurudi tena chumbani kwetu kutuvuta madushe. Nahisi jamaa huko aliko ni shoga kwa sasa, utachezeaje wanaume wenzako madushe, umekuwa mwanamme wa Dar, Tanga, ama Zanzibar?
 
Mimi nasoma chuo mar ya pili coz nyingin nishafanya kaz somewhere.nilivyomaliza chuo mara ya kwanza kuna siku niliota nimeajiriwa na kweli zikapita siku chache baada ya kupeleka barua ya maombi ya kazi nikaajiliwa,nimefanya kazi kuna siku nikaota nipo shuleni na wezangu tunasoma, na saizi kama unavyoona nipo shuleni tena.mungu ananipa matukio ya mbele sometime kwa ndoto mara ya kwanza nilisom cheti tu saizi nipo diploma mwaka wa mwisho huu namaliza
Hakika Mungu amekubariki mkuu . Muombee Mungu asikuondelee hicho kidogo alichokupatia
 
Nipo shule naishi mazingira ya hosteli chumba chetu tupo watatu,lakini kwanini kila nikilala naota huyu mmoja ananichezea? Nakuwa namwona kwa macho nikiwa kwenye njozi.Jana nikaota kuna kitu ananidondoshea kama chenye maji upande wa bega huku nikiwa nimelala yeye analala kitanda cha juu Mimi cha chini hii ni njozi ya tatu namwota yeye tu kwanini nisimwote mwezake? Kuna siku nikaamka nikakuta shuka langu limelowa kipande flan nikajua labda kakojoa palikuwa na duara kubwa lenye maji nikajua mikojo imeshuka toka juu nikakagua godoro lake hata hakukojoa nilishangaa sana tukio ilo nikaamua kwenda kufua shuka,na kuweka jingine najiuliza kwanini kila ndoto nimuote yeye saizi nimetokea kumchukia sana.tunasalimiana tu baada ya hapo kila mtu na mishe zake.baada ya hayo matukio nikamwambia tufunge maombi mbona kila siku nakuota wewe kwenye njozi? Baada ya kumwambia imechukua mda mrefu sana sikuota tena ndoto kuhusu yeye nimefika kuota Jana ananimwagia kitu flani chenye asili ya maji nikaamka nikasema kwa nguvu ushindwe katika jina la yesu......badae nikalala tena.
Endelea kuomba, huyo ni wakala wa shetani.
 
Kaa mbali na huyo jamaa.
Kama una omba fanya kweli omba.
Atahama yeye.

Ukileta mchezo atakuacha halafu siku ya kufanya mtihani unapata bonge la usingizi. Utaamka paper ndio zinataka kukusanywa.

Huna ujanja hao jamaa wanaheshimu power iliyowazidi.
Ila usiende kwa manabii wala kwa mganga matapeli sana.
 
Next semi nitaama saiz karib tunafanya final
Usihame yeye/mchawi ndio anatakiwa akose raha hadi ahame.
Ukikimbie umempa ushindi. Funga omba pia mwambie direct au indirect kuwa michezo yake ya kichawi kaishtukia!
 
Huyo mtu invayoonekana anakuroga,wanaokuroga mara nyingi huja ndotoni kwasababu kulala ni nusu kufa.Ila kiroho inaonekana upo macho na ndio maana unaona yote yanayotokea,fanya maombi ndotoni uwe unakemea.Nakushauri pia usome Zaburi 91 kila siku kabla hujalala.
 
odamae et all.

Watu wanawachezea watoto wa wengine SANA. Duuuuu pole sana.

Fanya haya:

: Sali SANA Kwa roho na kweli, I mean pambana naye ki roho ile ki kweli kweli kwa maombi, sadaka na kufunga. If you know what I mean.

: Muchane 'live'. Muambie wazi unafahamu michezo yake anayofanya. Mwambie 'I will destruct you miserably'. Kama haamini aendelee atajuta kukufahamu, people tried me and they ended up into terrible destruction, I am just warning you.

: Weka Biblia kitandani mwako many times, just open it na usome mistari kadhaa, then fanya kama you are speaking to Jesus Christ akupe ulinzi wa kimwili, kiroho na kinafsi. Wakati wa kulala Bible weka eneo la kichwani mwako huku ukiwa umetamka maneno yenye 'nguvu za Mungu'.

: Kila kitu utakofanya from now onwards fanya katika Mungu. I mean unakunywa chai, kunywa katika Mungu; unafua, fua katika Mungu; unasoma, soma katika Mungu, and everything. I mean, meditate 'everything' katika Mungu.

Onyo: Usipochukua 'hatua stahiki' wataendelea kukuchezea chezea kila mmoja kwa wakati, in short unakuwa their 'playing ground', na maisha yako yatakuwa hivyo hivyo 'a low life person'

Glory be to God! Amen.
Hana haja ya kumtishia yeye apambane nae tu kwenye maombi atasalute mwenyew
Tafuta ata mchungaji uwe karibu nae mwenye maono umuelezee hiyo hali
 
Back
Top Bottom