Haiti....shida ni nini hasa?

Haiti....shida ni nini hasa?

Mbona China,Korea na Wahindi wana miungu yao ya asili?

Lakini sio masikini km Haiti?

Unlike hayo mataifa uliyoyataja, Haiti wali declare public kuwa nchi yao ni ya voodoo ambao ni ushetani wa kiwango cha juu
 
Siyo kweli, benyamin netanyau alimuunga mkono mitty romney kwenye uchaguzi uliopita na bado alipigwa chini

Nilichokuja kugundua kua Rais wa USA ni pambo tu....kuna real people wako behind wanarun U.S.
Nasikia kuna wayahudi wenye nguvu ndo "wanaimiliki" nchi ile. Ndo mana kila mtia nia ya urais America ni traditionally afanye mazungumzo na PM wa Israel.
Kuna mengi hatuyajui na hatutakuja kuyajua.
 
Siyo kweli, benyamin netanyau alimuunga mkono mitty romney kwenye uchaguzi uliopita na bado alipigwa chini
Sijaongelea kumuunga mkono mtu...
naongelea kua kila mtia nia ya urais ama rais lazima akubaliwe ama "afanye mazungumzo" na Wayahudi, huko kushinda ama kutoshinda ni mambo mengine..ila wagombea lazima "wapitishwe" na wayahudi
1476628619985.png
 
Mkuu hizo kamba tu, mbna makanisa yako tu, je kuna nchi isiyokuwa na wachawi?

Haiti ni moja kati ya mataifa yaliyojikabidhi kwa shetani kikamilifu. Kwa mtindo huo usitarajie Mungu kuwa upande wao. Mungu anasema yeye ni Mungu mwenye wivu.... Ndo maana majanga hayaishi huko nchini mwao. Mara tetemeko mara kimbunga , kipindupindu nacho kinawamalizaga ukiachilia mbali ukimwi ambao upo kwa kiwango kikubwa.
 
Ni kweli wale walitakiwa wawe chini ya taifa lingine, mfano kuna kisiwa kipo kile Argentina kinamilikiwa na uingereza

Kile kisiwa Argentina huwa anakipigania miaka nenda rudi kirud mikonon kwake, lkn raia wa kile kisiwa hawataki kuwa upande wa Argentina

Maana wenyewe kwenda uingereza ni kutafuta nauli tu, na kwenye bajet ya uingereza wapo

Haitians originally ni watumwa hivyo ni watu ambao hawapo civilised kwa kiwango kikubwa sana na juu ya hilo their present settlements ni maeneo ambayo whites walijua before kuwa ni maeneo yenye natural calamities za kutosha kama Matetemeko, Floods na mengineyo hivyo siyo salama kwa ajili ya human settlements.

Ndio maana Nchi ya Haiti ipo katikati ya Nchi za watu weupe lakini Haiti ni weusi tu, waliachiwa Ardhi yote hiyo baada ya biashara ya utumwa kukoma wakijua ni unproductive na ina matatizo mengi.

Namlizia kwa kusema matatizo yote yanayotokea Haiti ni ya Kihistoria.
 
Back
Top Bottom