Haiti....shida ni nini hasa?

ukiangalia jirani yake jamhuri ya watu wa dominika inamaendeleo makubwa sana. ukikaachini unaweza sema pengine watu weusi tunamatatizo. mfano visiwa vya karibean vyenye weusi wengi kama jamaica vimeachwa mbali na Cuba pamoja na vikwazo vyote. ila ufisadi ndiyo chanzo kikubwa, kuna Rais alioa mhaiti aliyekulia marekani alikuwa fisadi sana. lakini kwanini weusi tu ndiyo wawe mafisadi? nahisi utumwa na ukoloni ulichangia tuwe na muelekeo wa kifisadi na kutopenda kazi.
 
Some truth
Yah kuna ukweli fulani....cheki statement ya Trump....naona Wayahudi "wanaoitawala" America behind the scenes wamemjia juu, lazima akubaliane nao tu. No way
 

Attachments

  • 1476437798346.png
    50.2 KB · Views: 44
Naungana na ww...watu weusi tuna matatizo fulani...nahisi genetically....
Cheki hata black Americans...tena hao ndo the worst kushinda the rest!
Ndo.mana wazungu kila day wanawa shoot tu mana hakuna namna.
 
Obama ndo kawasaliti zaidi
Rais mweusi kashindwa kuwasaidia weusi wenzake
angepeleka misaada kama wanayopeleka Israel....labda unafuu ungekuwepo
Mbona aliwasaidia alitoa helicopter 9 kwa ajili ya uokoaji
Wanabagaluwa kwa sababu ni weusi
 
Haiti ni moja kati ya mataifa yaliyojikabidhi kwa shetani kikamilifu. Kwa mtindo huo usitarajie Mungu kuwa upande wao. Mungu anasema yeye ni Mungu mwenye wivu.... Ndo maana majanga hayaishi huko nchini mwao. Mara tetemeko mara kimbunga , kipindupindu nacho kinawamalizaga ukiachilia mbali ukimwi ambao upo kwa kiwango kikubwa.
 
Baadhi ya Wadau wameamua kuilaumu rangi kama sababu ya matatizo ya Haiti, mbona kuna nchi za weusi zilizokua zinaelekea uchumi wa juu kwa kasi ikabidi chokochoko za wageni zihusike mfano Nigeria.

Haiti kwa administration iliyopo lazima ingefika pale, hakuna serikali, kijana lazima achague either ajiunge na magenge ya uhalifu au afe although either way atakufa tu (nguvu kazi haipo, iliyopo haizalishi) maana kunakua na vita za magenge nyingi sana na mara kwa mara, rate ya uhalifu iko juu kutokana na kutokuwepo na serikali, imani ya uchawi ipo juu sana, rushwa nayo ni kubwa sana tu.

Halafu niliwahi kuona kua katika orodha ya nchi kumi zisizokidhi mahitaji ya maji kwa watu wake Tz ni ya tisa lakini nane za juu zote ni zile zilizo kwenye vita na zenye matatizo kama ya Haiti (Haiti ni miongoni mwa hiyo orodha), nikaona sasa sisi tuna faida gani ya serikali.
 
Haiti ni kweli ushirikina upo sanaa pamoja nahayo hali yahewa nayo haiko poa ndio twaona mafurikoo na earthquake hutokea sana
 
Daa ndugu imenichukua 2minutes kumaliza post yakoo daah next time punguza
 
Mbona China,Korea na Wahindi wana miungu yao ya asili?

Lakini sio masikini km Haiti?
 
Haitians originally ni watumwa hivyo ni watu ambao hawapo civilised kwa kiwango kikubwa sana na juu ya hilo their present settlements ni maeneo ambayo whites walijua before kuwa ni maeneo yenye natural calamities za kutosha kama Matetemeko, Floods na mengineyo hivyo siyo salama kwa ajili ya human settlements.

Ndio maana Nchi ya Haiti ipo katikati ya Nchi za watu weupe lakini Haiti ni weusi tu, waliachiwa Ardhi yote hiyo baada ya biashara ya utumwa kukoma wakijua ni unproductive na ina matatizo mengi.

Namlizia kwa kusema matatizo yote yanayotokea Haiti ni ya Kihistoria.
 
Alafu tunaaminishwa wote tumetokana na adamu na hawa..... (walikuwa weusi????)
Izo ni porojo tu eti tunatokana na Adam na Hawa....yani habari za biblia ama quran nafananishaga na stori za kefa na mtui enzi izo kiswahili darasa la tano!
Religions are totally nonsenses, trust me!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…