Haiti: Michael Martel (Sweet Mickey) ashinda urais | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haiti: Michael Martel (Sweet Mickey) ashinda urais

Discussion in 'International Forum' started by m_kishuri, Apr 5, 2011.

 1. m_kishuri

  m_kishuri JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2011
  Joined: Jan 27, 2010
  Messages: 1,489
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
  (CNN) -- Flamboyant carnival musician Michel Martelly edged out former Haitian first lady Mirlande Manigat in a pivotal presidential runoff vote held last month, according to preliminary results released Monday.
  Martelly, 50, took 67.6% of the vote, while Manigat, 70, received 31.5%, according to Pierre Thibault, spokesman for Haiti's Provisional Electoral Council.

  Preliminary results: Michel Martelly beats Mirlande Manigat in Haiti - CNN.com
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #2
  Apr 5, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
 3. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #3
  Apr 5, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Wycliff atakuwa FM
   
 4. m_kishuri

  m_kishuri JF-Expert Member

  #4
  Apr 6, 2011
  Joined: Jan 27, 2010
  Messages: 1,489
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  I still have my doubts on him, however, kwa sababu WAHAITI wamemchagua inabidi nikubaliane nao. Binafsi bado nadhani kwamba HAITI inahitaji a VISIONARY president (like Eisenhower au Obama) ili kupambana na matatizo makubwa waliyonayo. Kama alivyosema Tim Padget wa Time Magazine kwamba,
  "do Haiti's youth really know the man they just made the next President of a nation still struggling to recover from a massive earthquake that killed 250,000 people last year and that needs sound leadership now more than at perhaps any other moment in its history?"

  Read more:
  http://globalspin.blogs.time.com/2011/04/05/sweet-micky-is-haitis-next-president-reliable-democrat-or-reckless-demagogue/#ixzz1InOutjnn

  Hilo swali ni vigumu kulijibu kwa sasa hivi. Kwa upande mwingine nakubaliana na WAHAITI, kwani wamechoka na wanasiasa ambao wamekuwa wakiwaacha kwenye mataa kwa miaka dahari. Hata Carlifornia walimchaguwa Schwarzenegger, ambaye zaidi ya kuwa Movie Star, hakuwa na experience ya uongozi.
   
 5. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #5
  Apr 7, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Bila shaka inabidi kuwe na wasiwasi kutokana na historia mbovu ya viongozi waliopita. Wasiwasi wangu kwa Michael ni kuja kulewa madaraka na kuwatelekeza wananchi waliompa ridhaa, lakini kama atasimama imara kusimamia kile anachokiamini na kufanyakazi za kusimamia maendelea na ustawi wa wananchianaweza kuiongoza Haití.
  Ninamwombea Mungu Amsaidie.
   
Loading...