Haitakaa itokee Afrika ipate Papa Mweusi

Mtuache

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2021
Posts
260
Reaction score
707
Baadhi yenu mlifikiri hao makadinari wanaweza kupiga kura ya kumchagua Papa kutoka Africa? Kweli kabisa mliruhusu wendawazimu wa fikra uwaongoze kuwaza hivyo?

Africa kuwa na papa mweusi hiyo kamwe haitakaa ije kutokea. Hata kama dunia itatupa bonus ya kuishi miaka elf moja.

Ukweli ni kwamba, hakuna mzee wa ki Africa aliyewahi kupata hadhi na heshima ya kuwa papa. Na haitakaa itokee.

Simulizi ya Yesu na Biblia vililetwa Africa kwaajili ya kuwapumbaza wa Africa. Wa Africa muamini kuna mtu fulani mweupe aliitwa Yesu aliwahi kufa kwaajili ya dhambi zenu.

Hii ndio sababu mmekuwa mnazuzuka kwa kuwahusudu sana wazungu. Mmekuwa watumwa mnaosujudu dini na mila zao, huku mkizizika mila zenu za asili.

Wa Africa wengi huwa wanahisi fahari pale wanapovaa suti na kuonekana kama wazungu. Huwezi kuwalaumu.

Kimwili wapo huru, ila mikono ya bongo zao bado imefungwa minyororo ya mabaki ya utumwa wa fikra.

Najua hii ni moja ya post itayonitengenezea uadui wa kutisha barani Africa. Lakini suala la Africa kushindwa kutoa Papa wakati huu.

Labda hii itawaamsha wazikumbuke mila na tamaduni za mababu zao. Na wa Africa wanaojitambua wengi wataunga mkono nilichokiandika."

1746868427736.jpg
 
View attachment 3329880

Wakati wa kumpata Papa Mweusi bado Sana, itachukua muda mrefu Sana ndoto hii kutimia.
 
Huyu kwenye picha ndiye alitaka upapa au ndiye mwandishi
 
Ugumu upo hapa....
Yaani mzungu ampe mtoto wake mtu mweusi ambusu au sijui ndio kubariki kwenyewe....
Wanaogopa ikitokea mweusi, weupe wengi wataachana ukatoliki....

1746869155672.png
 
Huyo mzungu atakuwa ni mpagani. Afrika kuwa na papa mbona inawezekana? Ni suala la muda tu. Kama ilitokea katibu mkuu mweusi tii kutoka ghana why vatican ishindwe kumchagua papa mweusi katika conclave yao? Huyo mzungu ni atheist, hana dini. Whether Yesu alikuwa mweupe au mweusi tunaamini hivyohivyo kama tulivyopokea toka kwa waliotuletea injili, ni injili ya ukombozi iletayo nuru
 
Sisi wakatoliki hatujawah kumuona Papa kwa huo upuuzi wenu wa Ngozi ya Mwili...

Hata akiwa hakuna kitu cha maana sana anaweza fanya nje ya Mfumo wa Kanisa...

Yes Waafrica wanabaguliwa duniani kote, wananyimwa fursa.. lakini kuingiza hili kanisani ni kutukosea heshima lakini zaidi ni kulikosea heshima Kanisa na Mungu mwenyewe alielisimika hapa duniani.
 
Ujinga mtupu ulioandikwa na mjinga kuwakusudia wajinga

Uchaguz wa papa ni uchaguz wa kiroho siyo uchaguz wa rangi ya mtu

Ni sawa na leo atokee mchaga awatukane wazinza kwa kuwaambia kamwe hawapata kadinar katika maisha yao

Kanisa linahitaji kiongoz wa kiroho siyo kiongoz wa rangi

Hata hao marekan walikuwa hawajawahi pata papa ndo leo katokea na ukumbuke america ni bara kama ilivyo Africa
 
Hata kwenye maisha ya kawaida hizo nchi za wazungu, hasa zile kazi kubwa za kudili na client matajiri ambao ndio wateja wakubwa wa hizo kampuni, huwa wanaona ukakasi sana kumpa mtu mweusi hizo nafasi.....
 
Baadhi yenu mlifikiri hao makadinari wanaweza kupiga kura ya kumchagua Papa kutoka Africa? Kweli kabisa mliruhusu wendawazimu wa fikra uwaongoze kuwaza hivyo?

Africa kuwa na papa mweusi hiyo kamwe haitakaa ije kutokea. Hata kama dunia itatupa bonus ya kuishi miaka elf moja.

Ukweli ni kwamba, hakuna mzee wa ki Africa aliyewahi kupata hadhi na heshima ya kuwa papa. Na haitakaa itokee.

Simulizi ya Yesu na Biblia vililetwa Africa kwaajili ya kuwapumbaza wa Africa. Wa Africa muamini kuna mtu fulani mweupe aliitwa Yesu aliwahi kufa kwaajili ya dhambi zenu.

Hii ndio sababu mmekuwa mnazuzuka kwa kuwahusudu sana wazungu. Mmekuwa watumwa mnaosujudu dini na mila zao, huku mkizizika mila zenu za asili.

Wa Africa wengi huwa wanahisi fahari pale wanapovaa suti na kuonekana kama wazungu. Huwezi kuwalaumu.

Kimwili wapo huru, ila mikono ya bongo zao bado imefungwa minyororo ya mabaki ya utumwa wa fikra.

Najua hii ni moja ya post itayonitengenezea uadui wa kutisha barani Africa. Lakini suala la Africa kushindwa kutoa Papa wakati huu.

Labda hii itawaamsha wazikumbuke mila na tamaduni za mababu zao. Na wa Africa wanaojitambua wengi wataunga mkono nilichokiandika."

View attachment 3329880
Wamewahi mchagua kipindi Fulani
 
Alafu ukitaka kujua kuwa huyu mzungu ni mgerasi kama wagerasi wengine eti anadai suti ni vazi la kizungu

Wakati suti ni vazi ambalo limeanzilishwa huko mashariki ya kati

Hana uelewa kabisa huyu mzungu na huyo YESU KRISTO anayemtaja hapa wala siyo mzungu

Yaan huyu mzungu ana akili kama za kobazi
 
Kwani papa ni wa Africa au Dunia nzima?
 
Naona umechanganya mafaili mkuu!

Kuhusu dini ya wazungu, ni sawa tu hata waafrika kuiamini unless useme hakuna wafia dini huko kwa wazungu, au unataka kusema mpango wao uli-backfire ndio maana na kwao dini hiyo hiyo imeendelezwa sana na kushikwa vizuri tu...kuna nchi bila kuwa mkristo, huwezi kuwa kiongozi wa juu serikalini huko uzunguni.

Papa mweusi, hili ni suala la muda na uwingi wa wao kwenye tasnia.

CCM wameshika nchi tangu 1977 lakini ni viongozi wale wale walioingia CCM 1977 ndio walikuwa watawala tangu 1961
- Mategemeo yako yakoje kwenye kupata labda PM kutoka upinzani?

Huu ni mfano tu, kwamba ni Roma halafu ndio Catholic, walianza wao, wakaweka misingi ya kanisa, na bado kiidadi wako wengi, hivyo WENGI WAPE.

Unayo matarajio kuwa ipo siku SA itaizidi USA kwenye teknolojia au maendeleo?

UN kule, kuna balance ya power kulingana na mabara? etc etc
 
Papa mweusi maana yake nini? Neno mweusi limekaa kibaguzi, Ungesema papa mwenye asili ya afrika ingekaa vizuri zaidi
 
Ujinga mtupu ulioandikwa na mjinga kuwakusudia wajinga

Uchaguz wa papa ni uchaguz wa kiroho siyo uchaguz wa rangi ya mtu

Ni sawa na leo atokee mchaga awatukane wazinza kwa kuwaambia kamwe hawapata kadinar katika maisha yao

Kanisa linahitaji kiongoz wa kiroho siyo kiongoz wa rangi

Hata hao marekan walikuwa hawajawahi pata papa ndo leo katokea na ukumbuke america ni bara kama ilivyo Africa

Msichotaka kukubali ni kwamba, hata Vatican pia kuna Siasa katika masuala haya ya Papa. Huu ni Ukweli mchungu Sana.
 
Ujinga mtupu ulioandikwa na mjinga kuwakusudia wajinga

Uchaguz wa papa ni uchaguz wa kiroho siyo uchaguz wa rangi ya mtu

Ni sawa na leo atokee mchaga awatukane wazinza kwa kuwaambia kamwe hawapata kadinar katika maisha yao

Kanisa linahitaji kiongoz wa kiroho siyo kiroho wa rangi

Hata hao marekan walikuwa hawajawahi pata papa ndo leo katokea na ukumbuke america ni bara kama ilivyo Africa
Huwezi kuelewa wewe mtu mwenyewe unaishi vijijini huko hata south afrika hujawahi kuishi ukaona maisha ya watu weupe
sanasana unalinganisha maisha kwa kuona wale mapdri wa kizungu walioletwa huku afrika unadhani wanaona mko nao sawa, wakati mara nyingi wanaletwa huku wakifanya skendo huko wanakuja kuwaficha huku
hizi imani zimewapofu kuuona ukweli mchungu
 
Back
Top Bottom