likandambwasada
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,402
- 6,091
MIMI MWENYEWE NDOA YANGU NITAWANYWESHA MAJI NA SODA TU.. SITAKI DHAMBI MIMI, IONEKANE NIMEHAMASISHA KILAJI
😛😛Hata wewe hulazimishwi kuchangia mada hii, kama unapenda harusi za soda fungua thread yako na 'walokole' wenzio mchangie. Sisi tunaopenda pombe hasa 'Serengeti Nyepesi' tutaendelea kutoa michango mikubwa kwenye harusi tukitegemea kunywa pombe nyingi sana😀Kwani unalazimishwa kuchangia shughuli?
Au roho ya kwanini inakusumbua?
Nyie ndo wale mkiona wenzenu wanatunzwa mahela kwenye sherehe roho zinawauma.
Ha ha ha nyinyi ndo wale mnaokunywa bia sherehe mpaka sherehe .😛😛Hata wewe hulazimishwi kuchangia mada hii, kama unapenda harusi za soda fungua thread yako na 'walokole' wenzio mchangie. Sisi tunaopenda pombe hasa 'Serengeti Nyepesi' tutaendelea kutoa michango mikubwa kwenye harusi tukitegemea kunywa pombe nyingi sana😀
Jambo usilolijua litakusumbua. Una kiherehere kama mnywaji wa Balimi.Ha ha ha nyinyi ndo wale mnaokunywa bia sherehe mpaka sherehe .
Hizo tabia za kiswahili sana
Kama shida yako bia kwa nn usiende ukanunua ukanywa?
Tabia za kiswahili hizo.Jambo usilolijua litakusumbua. Una kiherehere kama mnywaji wa Balimi.
Dogo mimi nipo JF toka 2009, wewe umekuja juzi baada ya kuanza kupata hela ya bando. Wewe huna tofauti na mwanangu. Mwaka 2009 ulikuwa shule, mimi nikiwa kazini kwa miaka kadhaa, kwahiyo ningeweza kukusomesha shule kwa kukulipia ada na kukutumia hela ya kula shuleni. Kuwa na adabu, la sivyo tuhuma zako ni kiki kama kiki zingine.Tabia za kiswahili hizo.
Nyie ndo wale mnaobeba chakula kwenye sherehe mkalie kwenu.
Yaani ndo shida ya kukulia uswahilini hii.
Yaani unasubiri sherehe ndio ulewe kwa kuwa uwezo wa kununua bia hauna unasuburi mtelezo.
Una uhakika gani kama umejiunga kabla yangu?Dogo mimi nipo JF toka 2009, wewe umekuja juzi baada ya kuanza kupata hela ya bando. Wewe huna tofauti na mwanangu. Mwaka 2009 ulikuwa shule, mimi nikiwa kazini kwa miaka kadhaa, kwahiyo ningeweza kukusomesha shule kwa kukulipia ada na kukutumia hela ya kula shuleni. Kuwa na adabu, la sivyo tuhuma zako ni kiki kama kiki zingine.