Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,910
- 7,765
Ni sawa lakini naamini tuna imisuse hiyo falsafa. Hata kwenye vyama vingine kuna magamba pia kwaiyo si sahihi kukiita ccm chama cha magambaNadhani hii inatokana na falsafa waliyonayo ccm ya kuvuana magamba
Sitapingana na yeyote atakayesema baadhi ya wabunge wa ccm ni wehu. Huyo aliyesema CCM ni chama cha Mungu kama alimaanisha Mungu aliyeumba dunia basi laana i juu yakeJana sijui juzi kuna mbunge amesema CHAMA CHA MUNGU,tena bungeni sasa hiyo si KEJELI????na taarifa zake zikiripotiwa hapa watu watakuwa wanakejel????
Kavuliwa nani mkuu?kama sio chama cha magamba, hao wanaoyavua wameyatoa wapi? nawe unaogopa kulivua lako? vumilia tu mkuu ... kuvua gamba yataka moyo ... nape anayajua vizuri!
kama ni hivyo hakuna chama kinachokosa MagambaKwa sababu mapinduzi yalishafanyika siku nyingi,kilichopo sasa ni kujivua gamba na hii inajustify ccm kuwa chama cha magamba!
JF imekuwa na members wengi wasioipenda CCM. Siku za karibuni zimeibuka kejeli mbaya dhidi ya chama hiki kinachoongoza dola na members wengi wa JF wametumbukia kwenye kejeli hii ambayo mimi naona sio uungwana.
Mbona wao CCM hawakebehi vyama vingine? I mean mbona wao hawaiti chadema majina ya kukebehi na ya mzaha?
Nashauri Mods walambishe BAN wote watakaokuwa wanakidhalilisha chama hiki badala yake tujadiliane kwa staha. Hata kama mimi nitajisahau nitakiita chama cha magamba na mimi nilambishwe BAN tu.
Naomba kutoa hoja
Hahaha unastahili Ban mkuuCDM wao wanapendwa kuitwa MAGWANDA, sioni kosa kusema chama cha MAGAMBA.
Kavuliwa nani mkuu?
Sitapingana na yeyote atakayesema baadhi ya wabunge wa ccm ni wehu. Huyo aliyesema CCM ni chama cha Mungu kama alimaanisha Mungu aliyeumba dunia basi laana i juu yake
Kama ni wa kulambishwa Ban wa kwanza ni wewe halafu kadiri unavyotetea kisiitwe magamba ndivyo unavyo promote jina la magamba.JF imekuwa na members wengi wasioipenda CCM. Siku za karibuni zimeibuka kejeli mbaya dhidi ya chama hiki kinachoongoza dola na members wengi wa JF wametumbukia kwenye kejeli hii ambayo mimi naona sio uungwana.
Mbona wao CCM hawakebehi vyama vingine? I mean mbona wao hawaiti chadema majina ya kukebehi na ya mzaha?
Nashauri Mods walambishe BAN wote watakaokuwa wanakidhalilisha chama hiki badala yake tujadiliane kwa staha. Hata kama mimi nitajisahau nitakiita chama cha magamba na mimi nilambishwe BAN tu.
Naomba kutoa hoja
Ni sawa lakini naamini tuna imisuse hiyo falsafa. Hata kwenye vyama vingine kuna magamba pia kwaiyo si sahihi kukiita ccm chama cha magamba
JF imekuwa na members wengi wasioipenda CCM. Siku za karibuni zimeibuka kejeli mbaya dhidi ya chama hiki kinachoongoza dola na members wengi wa JF wametumbukia kwenye kejeli hii ambayo mimi naona sio uungwana.
Mbona wao CCM hawakebehi vyama vingine? I mean mbona wao hawaiti chadema majina ya kukebehi na ya mzaha?
Nashauri Mods walambishe BAN wote watakaokuwa wanakidhalilisha chama hiki badala yake tujadiliane kwa staha. Hata kama mimi nitajisahau nitakiita chama cha magamba na mimi nilambishwe BAN tu.
Naomba kutoa hoja
Naunga mkono,
CCM haina mvuto tena, na hii ndio nafasi pekee tuliyonayo ya kufanya mapinduzi halisi ya kifkra ili yadhihilike katika sanduku la kura.
Ila mimi siungi mkono style inayotumiwa na wanachama wa chama chochote/wananchi katika kuishambulia ccm kwa matusi maneno ya kejeli katika mtandao unaoaminika ni wa watu makini.
Style hii inapaswa itumike katika jamii ambayo haina uwezo wa kuchambua mambo kwa undani, watu wasio na muda wa kusikiliza hoja.
lakini sio eneo kama hili linalodhaniwa ni la watu wenye uelewa mkubwa.
Nawaomba vijana wenzangu wenye nia nzuri na nchi hii tuwe na utamaduni wa kujibu hoja hata kama ni ya maji taka, tunatakiwa tuishambulie kwa hoja mzingo zenye kumezeka.
Mfano juzi niliona mjumbe amabye nadhani alikuwa mkereketwa wa ccm aliandika jambo la kuhoji umakini wa cdm, badala ya watu kujibu kwa hoja, nilishangaa kuona majibu kama vile 'kavue gamba kwanza' kamuulize nepi' sidhani kama tunakuwa warithi/tunapanda hekima zozote vichwani mwetu zakuwa waamuzi wazuri bila kuwaonyesha tunaowapinga kuwa tunawazidi hoja.
Siku moja nilisema sio vyema kuishi kwa kutambua makosa tu,bali tunatakiwa tujifunze kujenga mwelekeo pia.
Tujue kutoa njia mbadala na tujue kujibu hoja kwa hoja na sio kuwa watu wenye uelewa mkubwa wa makosa tu,bali pia tuweze kutoa njia mbadala.
Tazama mijadala mingi ya vijana utagundua vijana tuna uwezo huo kinzani na ni changamoto kubwa sana kwa sasa.
Naachia hapo nikiwaomba tuikosoe serikali sana na tujifunze kutoa njia mbadala, tuwe watu wenye kujua mbinu za ujenzi wa vyama vyetu kwa maeneno muafaka, mfano hili la kebehi na makajuliso tunajua wapi pa kuitumia na sio humu.
Nao ccm wajue tu hawana mvuto na siwaombei wafe, bali nawaombea waishi maisha marefu maana hawa watakuwa wakosoaji wetu wazuri sana hapo baadae wakiwa chama cha upinzani.
Nawakumbusha kuchukua hatua ya kuvua magamba kama walivyoahidi wenyewe vinginevyo:- hawataamini kitakachowatokea na posho zao mifukoni.