Haipendezi hata kidogo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haipendezi hata kidogo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nazjaz, Oct 2, 2012.

 1. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #1
  Oct 2, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  . . .haipendezi sana mume na mke mmepanda gari lenu asubuhi mnaenda ku kazi huku
  mmenunaaa njia nzima! Bora mmoja ashuke akatafute daladala apate kucheka na vituko
  vya wapiga debe! Hata mfungwa akisindikizwa na askari utawaona wanapiga stori na
  kucheka njia nzima,nyie mnashindwa nini?! Nawatakia jumanne njema!
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 21,999
  Trophy Points: 280
  Wakati mwingine tunanua ili UPEPO MBAYA UPITE
   
 3. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #3
  Oct 2, 2012
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Imekuwa ni kawaida kwa wanandoa kutocheka wakiwa pamoja. Ukiona hivyo ujue pepo mbaya kaishapita kati yao. Ili kunusuru hii kabla ya kutoka nyumbani hata kama mmenuniana inabidi muongee yaishe!
   
 4. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #4
  Oct 2, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,314
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Dawa ni kila mtu awe anakwenda na gari yake ili acheke vizuri? Kweli appetite tunatafuta barabarani kushiba tunashibia nyumbani! Jnne njema Nazjaz
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Oct 2, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,400
  Trophy Points: 280
  Ndoa Ndoano!!
   
 6. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #6
  Oct 2, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Umeamkaje Nazjaz?unapotea sana siku hizi
   
 7. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #7
  Oct 2, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  mmmh makubwa
   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Oct 2, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,218
  Trophy Points: 280
  hawajanuna, wanatafakari maisha....
   
 9. JICHO LA TATU

  JICHO LA TATU JF-Expert Member

  #9
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 28, 2012
  Messages: 307
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Umenuniwa nini leo?
   
 10. Z

  Zero One Two JF-Expert Member

  #10
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 16, 2007
  Messages: 9,390
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Ukomavu wa kimapenzi huo....
   
 11. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #11
  Oct 2, 2012
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160
  Hakuna jipya la kudiscuss naye kama lipo muda wa home unatosha barabarani no maongezi

  Nazjaz umepotea wewe mpaka naumwa kukukosa
   
 12. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #12
  Oct 2, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Ukiona mwanaume yuko kwenye gari na mwanamke na wanatabasamu, story kwa wingi n.k. ujue hiyo ni small house teh.
   
 13. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #13
  Oct 2, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  utajuaje walilazimishwa kuoana.
   
 14. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #14
  Oct 2, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Ni kweli, wakati huo wanawazia ada za watoto, extended family, kodi, ujenzi, michango ya harusi, nk !!!
   
 15. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #15
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Ndoa hizi!!..kila siku yanakuja mapya!
  Sasa mkinuniana kwenye gari huko home inakuwaje??
   
 16. Chum Chang

  Chum Chang JF-Expert Member

  #16
  Oct 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,001
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ukiona hivyo wamepigwa chini NEC AU mmoja kachaguliwa mwengine kachezea jalamba.....

  Ndoa ngumu sijui wazee wetu waliwezaje kukabiliana nazo laiti wazee wangu wangekuwa hai ningewauliza
   
 17. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #17
  Oct 2, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  newly-designed-or-developed-seat-belt-wife-mouth.gif
  it works here!
   
 18. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #18
  Oct 4, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  ukiipanga iwe ndoano itakuwa, ukimtanguliza Mungu akusafushie barabara, ataondoa miba yote, visiki, vichuguu na kila kila kikwazo
   
 19. m

  muluvigwa Senior Member

  #19
  Oct 4, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 196
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  kutoelewana huwa kunatokea sn wakatimwingine kukaa k100 kunasaidia kupunguza hasara zapande mbili. ila mwanaume jitahid kuwa wakwanza kurejesha mazungumzo tena anzia kwakuomba ile kitu! huku ukileta utan mwingi aman itarud
   
Loading...