Hainaga digirii

Status
Not open for further replies.

tukuchangie usome hata kadiploma basi
 
It's a shame, mwezi ujao napata ingine, sijui niahirishe? Naskia zinapunguza chumvi inaanza kuwa na sukari.
Dalili za kukimbiwa hizi

 
I see the point kwenye maneno ya b2k na da sophy,wanachosema kina ukweli wake mtaani na yanaonekana yakitendeka.
 

Cna mpango wakuoa mwenye degree,wanavyojiona wanajua kla kitu,ctaki kuumiza kchwa kazn nirud nyumban tena niumizwe kchwa na mke,NO,mwenye certificate tu inatosha.
 
Kwa noleji hii, fungua kampuni ya ku-run errands kuliko ku run errands za mke mwenzio

 
Weeee, kama hujui kui-market yako ususeme wote
Papuchi inakupa chochote utakacho, ni wewe tu kujua kuitumia

Kuna mdada kapewa mkopo huo tena na li benk hilo, kajenga li mall la maana, colateral papuchi tu.

sikujua kama papuchi ni asset kama asset nyingine! ukute labda anaweza hata kuchukulia mkopo benk kama colateral mwenzetu!
 
Waambie mwaya wamezidi sana hao wanaojidai wamesoma.

Jamani kuna ubaya gani kuwa na degree...?? Na kuikosa degree ni hasara kimaisha na kiuchumi. Lakini kwa nini mtunishiane misuri..?? Huwezi kupata vyote, asiye na degree ni mnyenyekevu na hana stress. Mwenye degree anajiamini (anakiburi) na mastress kibao kutoka ofisini kwake. Kwa hiyo kila mtu amhurumie mwenzake kwa tatizo alilo nalo.
 
The thing is, there is life outside kuonjeshana chumvi. Na hapo ndo umuhimu wa degree unapojulikana.
Umuhimu wa digirii ni ofisini kwako tuu. Na tena ubahatike uwe na ofisi dizaini ya zenye viyoyozi za walioajiriwa, lakini kama ni zile zetu tuliojiajiri penda usipende utakujajifunza mbinu kwa waso digirii vingenevyo unapotezwa kwenye gemu. Uliza digirii wenzio. Digirii sio mali kama mnavodhani. Si tunaona watu na madigirii yao wanavyoingizwa mjini na madalali hapa? Wanaume na madigirii yao wanaingizwa kingi wanarudi hapa na hadithi za mawakili sijui polisi sijui takataka gani bado inakula kwao, ngumbaru wanapeta! Hapo nimezungumzia wanaume, sa unategemea mwanamke anayejivunia digirii kitampata nini kama si majanga tu? Mwanamke ka una digirii katambe nazo huko kwenye makongamano upigiwe makofi, lakini huku pande za kitaa ni manundu tu kwa kwenda mbele, yakikuuma sana pitia supermarket nunua wine ukanywee nyumbani ulewe ikuondoke haya ya kumpigia dereva toyo.
 

Uwii, usiseme yote basi, tusamehe hatusomi tena.
Hivi kimtaani taani, kuna jinsi ya kuidelete digrii?
 
kulikoni? hoja yako ni nzuri na ingefunza kama ungetulia nakuitoa kwa ufasaha zaidi, kama kuna mwanamke anayechanganya mapenzi na elimu aliyonayo maisha yake yatakuwa magumu sana,................. pole sana Da Sophy
 

Hebu wapashe mpenzi nimekupendaje. Ati naringia papuchi, kwani huyo mwenye digirii papuchi lake limeng'ofolewa, si analo? Angenizidi basi, kwa kuwa ana papuchi na digirii juu, mbona sa haimsaidii? Mwenyezi Mungu alivyokuumba kwamba papuchi liko mbele lakini digirii waveshwa kichwani hakukosea, alijua matumizi yake ni tafauti. Wabweteka na digirii ambayo kwanza hata haionekani?
 
Reactions: b2k
Wape wape hao...tena waambie na yule mama mbunge wa miaka 60 na ushee aliyedatishwa na kijana wa miaka 26 tu...

Mama wa watu alivyoona kijana anataka kumtosa basi kashikilia vyeti vyake vya elimu ndogo...unaambiwa kijana anaiweza shughuli ya mauno mauno hadi mama wa watu kadata.

 
Usipingane na muumba. Digirii waveshwa kichwani juu huko. Lakini mengine umewekewa mbele, mengine nyuma, kila moja kwa nafasi yake, hivyo. Sasa usitake hilo la kichwani huko unakovalia lemba, basi hilo ndio uliweke mbele halitokaa, si nafasi yake. Na pakuvalia lemba hapavaliki chengine.
 
Weeee, kama hujui kui-market yako ususeme wote
Papuchi inakupa chochote utakacho, ni wewe tu kujua kuitumia

Kuna mdada kapewa mkopo huo tena na li benk hilo, kajenga li mall la maana, colateral papuchi tu.

Kumbe kikuinuacho kinaweza kuwa nguoni mwako?
 
Kuna watu wanajifia degree bado!!?? I thought hiyo level ishapitwa na wakati
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…