Hainaga digirii

Status
Not open for further replies.
Ah da Sophy ..kwani vipi tena kulikoni mwenzetu?
 

the only thing you are always proud of ni hiyo papuchi...Imenenwa hivi..Hazina yako ilipo ndipo moyo wako ulipo
 

katoka mbali aisee.......mie digrii yangu niko nayo proud sana..............

kama ni hivo wote si tungekaa majumbani tusiende shule kazi iwe moja kutunza hao waume
 

ukioa asiye na kazi wala elimu jiandae kumwaga mafwedha kwa sanaaaa bila kulalamika ohh nachunwaaa ..sema tunachunana
 
Reactions: b2k
Ngoja leo nikae pembeni nione wenye digrii vs wasio na digrii wanavyotunishiana misuli...

Ajabu wote wana chumvi

Shangaa! Na ladha ni ileile halafu. Ndo hapo sasa janajike zima bila haya linaibuka hapa eti na kibanapua "oooh nina digirii mumewangu hana, ooh nininini" inahuuu! Wenzio hapa mtaani kuna wanawake wenye digirii zao mbona wamezalishwa na dereva toyo! Mambo ya maungoni yanasoma kakwambia nani? Nenda pale uhamiaji kaulize kama unafikiri natunga. Yupo bibiye kapagawishwaje na dereva toyo. Eti digirii. Mbona digirii zimesalimu amri zamani tu kwenye haya mambo.
 
dunia ya sasa bado unamtegemea mume awe na elimu aje kwako darasa la 7 ..utaishia kuchezewa.unaona raha kila siku kuomba hela..ndio tuna degree acha tujidai bhana elimu ni kila kitu katika dunia ya leo sasa pole yako wewe ngumbaru
 
kwaiyo wenye digrii tulikosea kuzipata sio?
 

Acha ushamba na wivu, ladha inatokana na unavyomfikiria mtu pia. Kama unadhani digrii haimati kaangalie nani mwenye digrii mbili au tatu anafata kuoa asiye na digrii, hao wengine ni viburudisho vya muda tu kama unavyoweza kuamka asubuhi ukakuta Rav4 yako new model brand new ina pancha ukapanda boda boda, boda boda inakufikisha town sawa ila unakuwa hutaki kuonekana kwenye bodaboda (unaona ona aibu), ndo maana hao wengine wanafatwa usiku fasta mmemalizana au wanatangulizwa chumbani.

Kama huna uwezo na wenye digriii tuachie tufaidi utamu sisi wenyewe.
 
hahahahah huyo ni mtazamo tu
 

ngumbaru ni nini?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…