Hainaga digirii

Status
Not open for further replies.
Umenena shoga n' nakusapoti saaana tu,,,,,,,,,, me hata uwe na phd mumeo akija kwangu funga na kuomba!!!!!!!!!!!!!!!! maana nitampatia mahaba na utundu wangu huu haaaaaa!!!!!!!! lazima akuone kinyago na hicho ki digrii.
 
b2k na Da Sophy inaonekana mna dukuduku sana na wanawake wenzenu wasomi. nini tatizo?

Mie sina dukuduku nao tena kama wanaweza wanisome katikati ya mistari, ndio akili za darasani sina lakini za maisha zipo.

Hivi mkuu wewe kama ni mwanaume akitokea mkeo kila siku hana huduma anayokufanyia wewe yeye kama yeye zote anasaidiwa na wasaidizi, lakini nje huko kwa ngumbaru wako kila kitu ngumbaru wako anakufanyia humsikii akimwita dada mletee baba maji ya kuoga, ama maji ya kunywa ama sijui mpikie baba. ukikohoa tu ngumbaru wako kaja rabeka mahabuba wangu wataka nini. Unafikiri hutamng'ang'ania huyu ngumbaru?
 
Ahahahah da sophy. Yaani the only thing you are always proud of ni hiyo papuchi. Ikikatwa hiyo hauna kitu? For real? Kwa nini unapambana sana na digirii zetu? Kama mume tunashare japo wewe umewekwa kibanda umiza, kama una raha sana kuwa small hausi si uendelee kuenjoy? Kelele za nini?
 
Tehtehtehteh.... da sophy umerudi tena
"Zile digirii wanaveshwa kichwani tu, kwengine hakuna tafauti" Aiseee
Na zote zina chumvi....lol!
 
The thing is, there is life outside kuonjeshana chumvi. Na hapo ndo umuhimu wa degree unapojulikana.

Mbaya zaidi ni kwamba hata nje ya kuonjeshana chumvi bado mimi ngumbaru bado ninauwezo mkubwa. Wewe utashobokea kijikazi chako na ubosi wako lkn mie nitashobokea hilo hilo genge langu nnalouza dagaa uchungu na tembele.

siwajui watu kwenye madaraka lakini sitakosa kumjua mkatisha tiket wa mabasi ya mkoani hivyo siku anataka kusafiri tiket inamfwata mlangoni hana haja ya kwenda kukatia stendi, sitakosa kumjua fundi bomba mzuri na siku sinki lako linaziba namtuma anakuja kukuzibulia wewe unabaki fundi kamleta mume wangu kumbe ngumbaru mimi ndo nlokuleta fundi tena mzuri na wa bei nafuu kwanini asinione japo sina digrii lakin niwathamani kwake?
 
Nafikiri kama mkitafakari kwa makini basi mtaelewa anacho maanisha.
Haya ngumbaru anaringia papuchu yake basi na wewe mwenye digrii mwache afaidi yatokanayo na papuchu yake.
Hata nje ya papuchu ngumbaru mimi bado nina nafasi kubwa sana ukiona fundi bomba, umeme, friji, mkata fensi, fundi mabanda usijisifu kamtafuta mumeo ngumbaru mie ambaye sina digrii hao ndio ninao fanya nao kazi na mimi ndio ninayempa mumeo awalete kwako.

Kaeni chini mjitathmini, waume zenu wanahitaji kupendwa kuthaminiwa kusaidiwa kuheshimiwa na sio kujihashua kaa kono la pweza kisa eti nimesoma.
 
sikujua kama papuchi ni asset kama asset nyingine! ukute labda anaweza hata kuchukulia mkopo benk kama colateral mwenzetu!
 

sizitaki mbichi hizi huku ana njaa! ukumbuke digrii zinajua kuvaa na kuoga!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…