Huna jipya, huna la maana kila leo kusakama degree. Pole sana, hata kama ulilenga kufunza siku zote unaharibu kwa kumuuingiza mwanamke mwenzio unaeiiba mume wake, na usipoangalia uzee wako utakuwa wa shida, una mawazomgando, sikushangai wenye tabia za kung'ang'ania wanaume na kuwasakama wanawake wenzao siku zote wanamitazamo kama yako. una chosha maana huwezi anzisha topic yenye mlengo mwingine ni k tu, na kumsakama mwanamke mwenzio amekukosea nini?kaa jitafakari amekukosea nini kila ukianzisha topic ndani yake lazima umseme, pole sana. Mungu akuhurumia akufungue kwenye vifungo ulivyofungwa na shetani.Shosty umeingia chaka. Sicho nlokisema. Nnesema hainaga digirii na ni ukweli upende usipende utake ustake. Kwani hao wene digirii hebu kawaulize kama mama zao wana hizo digirii, mbona wao wamepata digirii ambazo mama zao hawana? Jibu ni kwamba mama zao wana nidhamu ya unyumba, wametulia ndicho kimewezesha wao kupata maendeleo. Ndipo nkasema kama unadhani digirii ndo kila kitu na kwamba eti aso nayo kakosa yote imekula kwako na mfano nimekupa. Kama una jengine uliza uzuri usije na nyodo lakini.
wewe una shida umekutana na wenye degree wangapi ambao wanafanya unachokisema?research yako uliifanyia wapi?kama inakuuma sana na wewe kamata shule uwe na hiyo degree!tunalia kila siku mtoto wa kike apewe nafasi ya kwenda shule we unaleta ujima wako hapa!akili zako zimekaa eneo moja tu la mwili!imekuuma saana nenda shule!
Huna jipya, huna la maana kila leo kusakama degree. Pole sana, hata kama ulilenga kufunza siku zote unaharibu kwa kumuuingiza mwanamke mwenzio unaeiiba mume wake, na usipoangalia uzee wako utakuwa wa shida, una mawazomgando, sikushangai wenye tabia za kung'ang'ania wanaume na kuwasakama wanawake wenzao siku zote wanamitazamo kama yako. una chosha maana huwezi anzisha topic yenye mlengo mwingine ni k tu, na kumsakama mwanamke mwenzio amekukosea nini?kaa jitafakari amekukosea nini kila ukianzisha topic ndani yake lazima umseme, pole sana. Mungu akuhurumia akufungue kwenye vifungo ulivyofungwa na shetani.
Mbona waenda mbali shutu aanze na madarasa ya QT mana czani kama ata ana qualifications za diploma shogangu huyoooo.wakati twaangaika kumkwamua mwanamke kielimu wengne awaoni umuhimu wake.kaaaaa haya wanao wakifika la saba waozeshe da sophi sawa eeeeee????
Heri ya mwaka mpya jamani. Kwa kudrat za maulana tumeuona alhamdulillahi
duh!!
Da Sophy una mbwembwe sa si ungeanzisha uzi mwngine ututakie heri ya mwaka mpya!?
Samahani mtoa mada, hivi hakuna mke wa mtu ambaye ni ngumbaru na mumewe ana nyumba ndogo?
Halafu, kwa 'elimu na uzoefu wa utu wa mwanamke ulionao ' ulishindwa kuwa wewe mke halafu ukafanya yale ambayo wenye degree wengi hawayafanyi mpaka umejitolea kuwa sijui kimada? aisee!
Wenye usomi wao watakuja juu oooh!!! hawa ni wkasababu ya shule lakni ukweli unabaki pale pale mwanamke aliyesoma ni majanga kwenye ndoa. Wanawaburuza wanaume utafikiri mikokoteni ndio maana mangumbaru tunasoko zaidi kwa waume zenu wasomi wenzenu.
Huna jipya, huna la maana kila leo kusakama degree. Pole sana, hata kama ulilenga kufunza siku zote unaharibu kwa kumuuingiza mwanamke mwenzio unaeiiba mume wake, na usipoangalia uzee wako utakuwa wa shida, una mawazomgando, sikushangai wenye tabia za kung'ang'ania wanaume na kuwasakama wanawake wenzao siku zote wanamitazamo kama yako. una chosha maana huwezi anzisha topic yenye mlengo mwingine ni k tu, na kumsakama mwanamke mwenzio amekukosea nini?kaa jitafakari amekukosea nini kila ukianzisha topic ndani yake lazima umseme, pole sana. Mungu akuhurumia akufungue kwenye vifungo ulivyofungwa na shetani.
The thing is, there is life outside kuonjeshana chumvi. Na hapo ndo umuhimu wa degree unapojulikana.
Dude could you please not waste my time?Neno "chumvi" umelitumia mara nyingi kwenye kuwasilisha hoja yako ukiwa na maana gani dada?
^^
Kuna haja ya jukwaa la Mipasho.
^^