Davion Delmonte Jr.
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 2,149
- 1,710
kwa passport kuna mtu anatengeneza kwa elfu 60.hiyo ni pamoja na ile ya kulipia uhamiaji 30,000.within a week anakuletea cha muhimu unamfata ofcn kwake dar pale maktaba posta unajaza form na kumpa viambatanishi afu siku ya kuchukua unaenda weka vidole unaipata.
Mwingine ni dola 100 siku 2 unaipata.
Kama upo tayari wahitaji msaada nipm nikuunganishe nao afu kuhusu hela mi sijui wengine watakusaidia

Amu mmh "mtu anatengeneza"? Janja janja ya Tz aisee ni noma.
Fuata utaratibu nenda ofisi za uhamiaji utalipia 50,000 tu na utalipia bank na kila risit utapewa. Ila
Kwa vile nchi yetu janja janja ni nyingi unaweza usihudiwe mapema. Watu wanalipwa mshahara kwa ajilinya hiyo huduma na hawakupi aisee...
Kutuma hela ni rhs tu achana na Western union ama moneygram wote wezi tu hao, tumia mtandao unaitwa WorldRimit yani unatuma $500 kwa gharama ya $9 wkt WU ni $60
Take care nasikia harufu ya kutapeliwa.
mmmmmhh! mimi nililipia dirishani kwenye ofisi ya uhamiaji Kurasini.
ukishalipia taratibu zingine zinafuata muda huo huo kama vile kwenda kuchukuliwa finger prints.
Kama kuna mtu anaweza kunipa ufafanuzi kidogo, jinsi ya kupata passport ya kusafiri.... nimejaribu kuingia website ya wizara ya mambo ya ndani ila haifunguki kabisa... labda kama kuna mtu anaweza kunisaidia ofisi zao zilipo..... Am serious... halafu pia nahitaji ufafanuzi kama kuna yeyote alishawahi kutuma pesa kwenye taasisi yeyote iliyo nje ya nchi, Kama upo? ulitumia njia gani?... je ukitumia hizi benki zetu kama CRDB itawezekana kweli..? Then pia kama ni barua, ukienda posta huwa wanafikisha kwa wakati ama uhakika ni mpaka zile DHL....
Asanteni wakuu, halafu samahanini kwa kuwatoa mchezoni najua siyo sehemu yake ila nimeliweka huku maana kuna wadau wengi, so! msinizodoe tafadhalini leo ni Jumapili, siku takatifu hii......
Hii ni kwa hisani ya wapenda maendeleo wooote waliopo JF... .. :A S confused:
mkuu gharama ya julipia passport ni 50000 ndio kias kinacholipwa Uhamiaji. usiudanganye Uma
Amu mmh "mtu anatengeneza"? Janja janja ya Tz aisee ni noma.
Fuata utaratibu nenda ofisi za uhamiaji utalipia 50,000 tu na utalipia bank na kila risit utapewa. Ila
Kwa vile nchi yetu janja janja ni nyingi unaweza usihudiwe mapema. Watu wanalipwa mshahara kwa ajilinya hiyo huduma na hawakupi aisee...
Kutuma hela ni rhs tu achana na Western union ama moneygram wote wezi tu hao, tumia mtandao unaitwa WorldRimit yani unatuma $500 kwa gharama ya $9 wkt WU ni $60
mambo ya uhamiaji sijui ngoja waje magumu wangu mzunguko hutoshangaa wakakuambia file limepotea na lile lifoleni lake balaa.
Ndo maana watu wamejiajiri kwa kutengeneza mianya ya kujipatia ajira.
Take care nasikia harufu ya kutapeliwa.
Kama kuna mtu anaweza kunipa ufafanuzi kidogo, jinsi ya kupata passport ya kusafiri.... nimejaribu kuingia website ya wizara ya mambo ya ndani ila haifunguki kabisa... labda kama kuna mtu anaweza kunisaidia ofisi zao zilipo..... Am serious... halafu pia nahitaji ufafanuzi kama kuna yeyote alishawahi kutuma pesa kwenye taasisi yeyote iliyo nje ya nchi, Kama upo? ulitumia njia gani?... je ukitumia hizi benki zetu kama CRDB itawezekana kweli..? Then pia kama ni barua, ukienda posta huwa wanafikisha kwa wakati ama uhakika ni mpaka zile DHL....
Asanteni wakuu, halafu samahanini kwa kuwatoa mchezoni najua siyo sehemu yake ila nimeliweka huku maana kuna wadau wengi, so! msinizodoe tafadhalini leo ni Jumapili, siku takatifu hii......
Hii ni kwa hisani ya wapenda maendeleo wooote waliopo JF... .. :A S confused:
Kama kuna mtu anaweza kunipa ufafanuzi kidogo, jinsi ya kupata passport ya kusafiri.... nimejaribu kuingia website ya wizara ya mambo ya ndani ila haifunguki kabisa... labda kama kuna mtu anaweza kunisaidia ofisi zao zilipo..... Am serious... halafu pia nahitaji ufafanuzi kama kuna yeyote alishawahi kutuma pesa kwenye taasisi yeyote iliyo nje ya nchi, Kama upo? ulitumia njia gani?... je ukitumia hizi benki zetu kama CRDB itawezekana kweli..? Then pia kama ni barua, ukienda posta huwa wanafikisha kwa wakati ama uhakika ni mpaka zile DHL....
Asanteni wakuu, halafu samahanini kwa kuwatoa mchezoni najua siyo sehemu yake ila nimeliweka huku maana kuna wadau wengi, so! msinizodoe tafadhalini leo ni Jumapili, siku takatifu hii......
Hii ni kwa hisani ya wapenda maendeleo wooote waliopo JF... .. :A S confused:
Amu mmh "mtu anatengeneza"? Janja janja ya Tz aisee ni noma.
Fuata utaratibu nenda ofisi za uhamiaji utalipia 50,000 tu na utalipia bank na kila risit utapewa. Ila
Kwa vile nchi yetu janja janja ni nyingi unaweza usihudiwe mapema. Watu wanalipwa mshahara kwa ajilinya hiyo huduma na hawakupi aisee...
Kutuma hela ni rhs tu achana na Western union ama moneygram wote wezi tu hao, tumia mtandao unaitwa WorldRimit yani unatuma $500 kwa gharama ya $9 wkt WU ni $60
passport sio ngumu kuipata kiasi unavyofikiria,nenda ofisi za uhamiaji pale kinondoni uchukue form,ni bure kabisa,jaza form yako vizuri,kisha uende uhamiaji makao makuu pale kurasini,(ukipita kilwa road,shuka kituo cha jkt,pale jitegemee,opposite na jitegemee utaona chuo cha diplomasia,sasa kwa nyuma ya chuo cha diplomasia ndio kuna makao makuu ya uhamiaji.usisahau kwenda na passport size(sikumbuki ngapi but nenda nazo hata kama sita)utapokelewa na kushughulikiwa.
kama wewe ilikuwa rahisi usiwaaminishe na wengine kuwa ni rahisi kiivyo, mfano passport size hapa Arusha wanasehemu yao wanayopigia ukijidai unajua watakuzungusha swala la passportsize hata wiki mbili, kifupi ukitaka ufate taratibu utapata shida sana na muda