Haihusu mapenzi hii... nje ya mada mita 800 kwa spidi ya km 200/hr nisikamatwe na wenye hasira

Aisee kaka, tafadhali naomba namba zako ili kama vip next week, maana ndo ntafanya rasmi hiyo michakato kuanzia jumatatu... nikupigie hata unielekeze japo hatua kwa hatua... samahani lakini kama itakua usumbufu

PM me please, if you can! nitumie hiyo number yako, nitakupigia uipate namba yangu then tutaongea! see you then dude!
 
Back
Top Bottom