Davion Delmonte Jr.
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 2,149
- 1,710
Kama kuna mtu anaweza kunipa ufafanuzi kidogo, jinsi ya kupata passport ya kusafiri.... nimejaribu kuingia website ya wizara ya mambo ya ndani ila haifunguki kabisa... labda kama kuna mtu anaweza kunisaidia ofisi zao zilipo..... Am serious... halafu pia nahitaji ufafanuzi kama kuna yeyote alishawahi kutuma pesa kwenye taasisi yeyote iliyo nje ya nchi, Kama upo? ulitumia njia gani?... je ukitumia hizi benki zetu kama CRDB itawezekana kweli..? Then pia kama ni barua, ukienda posta huwa wanafikisha kwa wakati ama uhakika ni mpaka zile DHL....
Asanteni wakuu, halafu samahanini kwa kuwatoa mchezoni najua siyo sehemu yake ila nimeliweka huku maana kuna wadau wengi, so! msinizodoe tafadhalini leo ni Jumapili, siku takatifu hii......
Hii ni kwa hisani ya wapenda maendeleo wooote waliopo JF... .. :A S confused: