!!!! Haielweki

!!!! Haielweki

illuh

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2014
Posts
1,254
Reaction score
701
JZ.jpegDIAMOND.jpegCLINTON.jpegHHH 2.jpegHHHH.jpegMMMHH.jpegMUIMBAJI.jpeg kwa hao wengine sawa tunaelewa...Je kwa Diamond na huyu mwimba kwaya JE? !!
 
Mmeanza tena, kila kitu ni freemasson therefore...angalia unavyotype hapo kwenye compyuter yako, ona vidole vyako vilivyokaa... upoo...
 
May be wakati Rose anacheza kamera ndo ikamkuta na hiyo style
 
Mmeanza tena, kila kitu ni freemasson therefore...angalia unavyotype hapo kwenye compyuter yako, ona vidole vyako vilivyokaa... upoo...




SIO kuwa tumeanza...ila ndio ufahamu ndio inayotawala dunia......Siku hizi mambo yapo wazi kama wewe ni mtu wa kwenda kidigital zaidi....Read websites, use search engine ipasavyo utasoma kila kitu kilichopo ulimwenguni....vipoo...Chunguza utabaini...Tumia muda wako mwingi kusoma vitabu, websites, za kizungu na kiswahili utapata mambo yadunia utaelewa vitu vingi sana
 
Back
Top Bottom