figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
MMEKUJA Na MBINU Mpya kuifanya NCHI ISITAWALIKE.....baada ya kufeliHaya mambo CCM wanajitakia wenyewe... Ubabe na unyanyasaji hauwezi kuwaacha salama...
Waambie wafe kabisa, maana siasa ni maisha ya kila siku.wosia wangu kwa wanangu, "kaeni mbali na siasa"
MMEKUJA Na MBINU Mpya kuifanya NCHI ISITAWALIKE.....baada ya kufeli
Mimi ninachojua ni Machame vs Rombo/Kibosho (a every heated rivalry). Sasa Machame vs Machame itakuwa ni ingizo jipya kwenye vitabu vya rivalry huko Kilimanjaro. Kumbuka huko, All the Time Money Talks.Hapo Machame kuna visa na visasi.......inategemea sana huyo DKT Amini anaishije na wenzake......
Machame ni sehem ngum sana kuish kama unatofautiana kimsimamo na jamii iliyo kubwa... my experience 20 yrs there....