figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,890
Nyumba ya Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Hai Dkt.Amini Uronu yachomwa moto usiku wa kuamkia leo na watu wasiojulikana, Tumaini Uronu mtoto wa Dkt.Amini athibitisha.
"Mzee na Mama wote wamelazwa Mt.Joseph, Mzee kapata madhara kiasi katika maeneo ya miguu na mikono". Alisema Mtoto wa Dkt.Amini Uronu.
"Mzee na Mama wote wamelazwa Mt.Joseph, Mzee kapata madhara kiasi katika maeneo ya miguu na mikono". Alisema Mtoto wa Dkt.Amini Uronu.